Home
Unlabelled
tahadhari ya UKIMWI shinyanga vijijini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya ndiyo maneno sasa. Tumezipuuzia lugha zetu za mama kwa muda mrefu tukidhani kwamba hazifai na hazina maana. Wakati umefika sasa wa kuanza kuzitumia katika mazingira rasmi.
ReplyDeleteNimefurahishwa na tangazo hili!!!
tangazo la ukimwi sawa.. lakini mbona huyo mujomba hapo pembeni kama anakula "kitu cha Arusha" taratiiibu. Tutapona kweli kwa mwendo huo?
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteUtamu wa Muwa, lazima umenywe maganda. Jamaa anasikilizia utamu wa muwa. Ni kama ukila pipi kifua
ReplyDeletewoow,nimependa hii sana tu especially ni nyumbani shinyanga,binafsi naipenda sana lugha yangu ya kisukuma....wabeja baba!lol
ReplyDelete