Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk Batilda Burian akimwagilia maji mti mara baada ya kuupanda kwenye maeneo ya machimbo ya kiwanda cha saruji cha wazo, kulia kwa waziri ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Bw Hans Koeppel leo Mjini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira ,Dk Batilda Burian akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha saruji cha Wazo Mjini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira ,Dk Batilda Burian akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha saruji cha Wazo Mjini Dar es Salaam leo.
Sister Batilda, Sisi watu wa Arusha, we are so so proud of you! May God bess and protect you. Amen. Maliaki Mollel.
ReplyDelete