MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MAJIMBO YA ILEMELA NA NYAMAGANA BW. WILLIAM KABWE AMETANGAZA WAGOMBEA WA CHADEMA KUWA WASHINDI WA MAJIMBO HAYO. KWA NYAMAGANA MH. EZEKIA DIBONGO WENJE AMEPATA KURA 38,131 NA KUMSHINDA MH. LAWRENCE MASHA WA CCM ALIYEPATA KURA 27,883.
JIMBO LA ILEMELA MSHINDI NI MH. HAINES SAMSON NAYE AMEZOA KURA ZAIDI YA 30,000 NA KUMSHINDA MH. ANTHONY DIALLO ALIYEPATA KURA 26,870

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Safi sanaaaaaaaaaaaaaa! mwanza tumeachana na mafisadi ya sisiem

    ReplyDelete
  2. U go Boys....Love this...pole pole tutafika...nyooo..sasa tuangalie hiyo % waliyosema watashinda nayo iko wapi....

    ReplyDelete
  3. ChaNge is coming to TZ. John mashaka president 2015

    ReplyDelete
  4. Is this for really? Masha and Diallo out? Ama kweli aliye juu mgojee chini iko siku atashuka tu! Makubwa! Asante sana Michuzi, endelea kutupa habari na kutukata kiu... Ubarikiwe. Mdau UK

    ReplyDelete
  5. jamaa halikua analinga sana hata hapa new york safi sana nyamagana

    ReplyDelete
  6. Tanzani Tanzaniaaaa nakupenda kwa moyo woteee. Nchi yangu Tanzaniaaa,jina lako ni tamu sanaaaa. Nilalapo nakuota wewe,niamkapo ni heri mama weeee. Tanzania Tanzaniaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...