FBG; wanahiphop toka chuga chuga wafungua mwaka na concious joint kuelezea hali halisi ya taifa le2 na maisha ya mtaa yanavotupelekesha huku viongozi wanafuja fedha ya mlipa kodi,Ngoma hi inakwenda kwa jina "inaniuma kwa roho" na imerekodiwa pande za noizmekah s2dio arachuga na harakati za kushoot video yake zilikwama kutokana na fujo kuzuka mjini arusha siku hiyo hiyo ilopangwa kushoot...FBG wanamalizia tape yao itayotolewa "FREE" na itakwenda kwa jina "codemixxing",collection hiyo itajumuisha pia wimbo huu na nyinginezo kibaona mwezi wa tatu mashabiki wategemee vibe za kumwaga!


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...