WADAU NA TUIPITIE KATIKA YETU WAKATI
HUU WA FURSA YA KUIJADILI

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ungetuwekea kwenye word document au pdf ingekuwa ni njema kabisa, maana inakuwa rahisi kudownlaod na kuprint! Hata hivyo asante

    ReplyDelete
  2. Tafadhalini jamani someni hii katiba ili tunapojadiliana tujue tunasema nini. Na ningeshauri mheshimiwa Rais au, jopo linalohusika na mipango ya wali ya kutafuta watu watakaohusika na tume ya kubadili au kurekebisha ( kuweka nyongeza) katiba kuwa na watu kutoka makundi mbali mbali, wanawake, vijana wanaume, wasomi na wasio wasomi tajiri na masikini. Sisi watu wa kawaida ( tusiokuwa wanasheria, tutaeleza kitu tunachozania kinapungua katika katiba, wanasheria wataandika katika ile lugha yao isiyosomeka)

    ReplyDelete
  3. Waswahili mmeshaanzaa. mara oooh pdf sijui PPF mara wodi sijui nini. Acheni ufala nyie. Anko kawaaanikia katiba muisome na kuijadili mmeanza maneno maneno. mnboa basi tu hamjui...

    ReplyDelete
  4. Inaeleweka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...