Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC) Dk. Chrisant Mzindakaya (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa baraza la biashara ya China na Afrika na Mwenyekiti wa Schuan Hongda Corporation Ltd, Bw. Liu Canglong, kabla ya mkutano wao na waandishi wa habari kuhusu kupatikana kwa wawekezaji kutoka China wa Miradi ya Chuma na Makaa ya mawe ya Mchuchuma na Liganga. Mkutano ulifanyika jiji Dar leo.
Home
Unlabelled
kampuni ya china yaja kuwekeza machimbo ya mchuchuma na liganga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Oh nooo I hope wataangalia pande zote za sarafu kabla ya kuweka hii contract.. Wakianza kuchimba na wanavyojua tena wanataka chuma kwa nguvu huko kwao mazingira yetu ndio yataisha.
ReplyDeleteViongozi mliochaguliwa angalieni maisha ya watoto wenu ya baadaye sio hii hela ya leo tu...
Hii ilikuwa inakuja tu. Ila hizi contract ziwekwe hadharani ili wote turidhike nazo. Maana haya madini ni miliki ya wananchi wote sio serikali peke yao!
ReplyDelete