Ndugu zangu, hata waheshimiwa nao wakiamua huyaweza! Mbunge wa Musoma Vijijini na Mwanasheria mahiri ndani na nje ya Afrika, Mh. Nimrod Mkono, akicheza KIDUKU kando ya 'kajumba kake kapya' kijijini kwake Kigori, Busegwe. Picha hii ilipigwa na mdau Manyerere Jackton wiki iliyopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sielewi maudhui ya picha! ni jinsi Mh anavyocheza au kajumba chake kapya? Habari nyingine zinashusha hadhi ya watu!

    ReplyDelete
  2. Mie nilidhani kuwa ni Askari Keya(KAR-King's African Rifles)akipiga kwata mbele ya ofisi ya DC enzi za mkoloni. Maana askari keya walikuwa wanavaa kofia ya tunga kama ya Mheshimiwa.

    Ila mdau hiyo ni 'kuduku' kweli? maana tunajua jamaa zetu wa huko hucheza 'Litungu'.

    ReplyDelete
  3. inaeleweka, hadhi is in the eyes of the beholder!

    ReplyDelete
  4. safi sana muheshimiwa kwa kujenga njenge kali sana kijijini kwetu wanene wengine waige na sisi vijijini tupate sehemu za kupigia picha na kujua watu wa ukweli wanaishije ,hongera sana mkuu

    ReplyDelete
  5. Ahahaha mbona mdau wa kwanza amecomment kwa hasira sana...imekugusa nini mbona ni picha tu michu ameshare na sie wapenzi wa blog yake and nothing personal i believe. Pole sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...