Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo cha Ruco wakiwa katika mgomo leo wakishinikiza bodi ya mikopo kuwaingiza fedha zao za kujikimu kiasi cha shilingi 300,000 kama ilivyokuwa katika vyuo cya Mkwawa cha Irinda na UDOM cha Dodoma hivi karibuni.
Picha Na Francis Godwin


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwani mwanafunzi akingoma darasa haziendelei? Si mwalimu awape sifuri kwenye soma alilokosa test au mtihani? Au hawa walimu wao wanashirikiana nao?

    ReplyDelete
  2. Mimi ninawashauri wanafunzi waachane na migomo, hailipi hata kidogo, wenzenu tulipoteza mwaka mzima wakati wa migomo ya UDSM miaka ya mwanzo ya tisini. Mnaweza kudai hizo haki zenu kwa njia nyingine siyo kugomea masomo, hii sasa imekuwa kama fashion. Angalieni sana wadogo

    ReplyDelete
  3. wasipogoma watalala njaa. bongo haiendi bila migomo

    ReplyDelete
  4. Wanafunzi wa chuo changu kikuu cha Kajificheni University nao watagoma hivi karibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...