Mchezaji nyota wa Vancouver Whitecaps ya jijini Vancouver huko British Columbia, Canada, akiwa anafundisha watoto kuliskata kabumbu maeneo ya Tabata jijini Dar alipokuja kuchezea Taifa Stars. Nizar amekuwa lulu kwa timu hiyo ya kulipwa na Taifa Stars, yote hii ikitokana na kujituma, nidhamu na kupenda kazi yake. Ni mfano wa kuigwa
Nizar ana mashabiki wengi watoto kwa wakubwa
na anapeperusha vilivyo bendera yetu
Nizar akinyanyasa ngome ya adui
Nizar akiwakilisha wakati Taifa Stars ilipocheza na Brazil Dar
Nizar huwa haachwi peke yake. akiachwa tu nyavu hizi...
Nizar na kikosi cha kwanza cha Vancouver Whitecaps.
Kwa habari kamili ya timu hiyo
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kama hutafanya haya hata Baclays utakanyaga:-

    1.Ngono mara kwa mara
    2.Kujituma
    3.Nidhamu
    4.Fanya mazoezi kwa bidii.
    Kaka nakutakia mafanikio mema na jitahidi uwe mfano wa kuigwa.

    ReplyDelete
  2. Nizar amedhibitisha kwamba vijana mnaweza kwenda mpaka ngazi ya kimataifa bila kupita wale waharibufu wa soka la Tanzania.

    Ninyi vijana ambao mnataka kucheza soka la kweli lakini mnalala mnawaza Red na Green.

    Mtaishia kwenye makundi ya kuhujumu timu zenu na baadae muwe makomandoo wa timu.

    ReplyDelete
  3. One of greatest players that we have.Jamaa ni mzuri sana.all the best for him

    ReplyDelete
  4. Nizar!! kweli umetulia.hakika wewe unapita njia aliyoshauri captain wa kongo....unaheshimu mpira, unaupa hadhi inayostahili.jitahidi..upate timu zaidi ya hiyo...hiyo ndo kazi yako...usijaribu kuwa bishoo...kama wachezaji wengi wa tz...uwe kama akina messi, rooney..kazi kazi tu baba..wanapesa lakini wanajituma kama hawana hata ya msosi..MUNGU akubariki...uwe mfano kwa watoto wetu...love u so much

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...