Toyota Sequioa ya mwaka 2005 na engine ni V8-petrol na ni , left-hand-drive. Iko Zanzibar .kwa sasa na anahyetaka kuiona gari wasilianakwa simu namba +255777482021.Kwa walio nje wanaweza wasiliana na +49157765886.
Bei ni kuanzia millioni 60 lakini mlango uko wazi kwa mapatano

Kwa ndani
Kwa nje nyuma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Gari ya Michael Scofield na wale wenzake hiyo, kwa wale waliokuwa wapenzi wa Prison Break watakuwa wanajua.

    ReplyDelete
  2. Manyangu unauza gari?? Gari bomba hiyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...