Askari wa kikosi cha kupambana na Ujambazi wa kutumia silaha Mkoani Morogoro wakifukua kifusi cha mchanga kuona madini ya shaba yaliyofukiwa yenye kukadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 300.6
Watuhumiwa wa wizi wa madini ya shaba waliofungwa pingu wakiwa eneo la tukio Mtaa wa Forets Mjini hapa ( anayenyosha mkono) ni Mkuu wa Kikosi cha kupambana na Ujambazi wa kutumia Silaha, Afande Patric Kimaro
Makachero wakilinda nyumba iliyokutwa na madini hayo ya shaba.
Picha na mdau John Nditi wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hawa jamaaa walishaaga umaskini du

    ReplyDelete
  2. Mnaonea dagaa sio ehh, mipapa mnaiogopa!

    ReplyDelete
  3. Yaani nawaonea huruma sana kwakweli. Sasa viongi wetu na wazungu watakuja kuchukua na kunafsia wenyewe walahi, ahlafu walalahoi tunakosa. Yaani nimeumia sana nyie kushikwa kwakweli. Wazungu na viongozi wetu watakula tu bila ubishi wakati wao ndio majambazi kufa mtu. Poleni sana ningekuwa na hela ningekuja kuwawekea bond, Nimeumia sana.

    Hiyo ni mali yenu as longer hamjaua poa kwangu tumeibiwa sana mali yetu na wanakufa masikini bure wakati mali tunazo tunauza kwa wenzetu huku tunakuja kuwa watumwa.

    Mdau USA.

    ReplyDelete
  4. YANI NYIE PILISI NDIO MNAJUA HII LEO, WAKATI KUNA MELI INASAFIRISHA "SHABA" TANI ZA KUTOSHA KWENDA CHINA KILA WEEK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...