Jk akiwa katika mazungumzo na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo(DRC) jijini Kinshasa leo jioni. Rais Kikwete alisimama kwa muda mjini Kinshasa akitokea Abidjan, Ivory Coast na kufanya mazungumzo na Rais Kabila, kabla ya kurejea nyumbani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duuh MICHUZI kiboko umeshainyaka hii habari saa moja tu baada ya mkutano wa marais wawili. Nakusahihisha tu Rais JK wa TZ na Rais JK wa DRC wamekutana mjini Kinshasa jioni ya leo jumatano tarehe 13 Feb, 2011 na si jioni ya jana.

    Mdau Kinshasa

    ReplyDelete
  2. Haya nawe Msahihishaji unaemsahihisha Michuzi nami ninakusahihisha ni Februari 23,2011 na sio Februari 13,2011.

    ReplyDelete
  3. Mdau sio 13Feb,2011 ni 23 Feb 2011

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...