Spika Anne Makinda akitoa mutasari wa mkutano wa pili wa Bunge la Kumi akisikilizwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa kikao cha muhtasari (briefing) wa ratiba ya Mkutano wa Pili wa Bunge la Kumi Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda Mb (wa pili kutoka kushoto) katika kikao hicho leo mjini Dodoma. Kulia kwake ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Idd. Kushoto kwake ni Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb )na Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa kikao cha muhtasari (briefing) wa ratiba ya Mkutano wa Pili wa Bunge la Kumi Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda Mb (wa pili kutoka kushoto) akifungua kikao hicho leo Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akiongea na wanahabari mara baada ya kumalizika kikao cha briefing kwa wabunge mjini Dodoma leo.
Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika akitoa tathmini ya chakula nchini ambapo amewahakikishia wabunge kuwa hali si mbaya. Alikuwa akiongea kwenye kikao cha briefing kwa wabunge mjini Dodoma leo.
3. Wabunge wakifuatilia mhutasari huo
Sehemu ya wabunge wakimsikiliza Mhe. Spika Anne Makinda
Wabunge wakitafakari kuhusu muhtasari
uliotolewa mara kabla ya wasaa wa kuuliza maswali
Picha zote na mdau Prosper Minja wa Bunge











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. PETER NALITOLELAFebruary 07, 2011

    PALAMENT OF TANZANIA IS VELY GOOD AND THE WABUNGE IS GETS 7MILLION EVELI MONTHS. MR. ZITTO IS THE DOWANS OF TANESCO. AND WE WANTS TO BE IN MUZUMBE UNIVESITI OF TANZANIA OF MOLOGOLO AND STDYUING THE ECONOMIVS WITH ANKAL MISUPU OF VODACOM LIMITIDI.AND MR. DR. JK OF PRESIDNT OF TANZANIA. CONGRATS THE PALIAMENT OF TZ

    ReplyDelete
  2. Ndugu Prof. Dr. Nalitolela karibu tena. Ulikwenda sabatiko nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...