Usifikiri mistari ya kina ras makunja inakuwa imenyooka bure tu...
afande huwa hana masikhara hata kidogo...mistari inapigwa chaki...
hapo hakuna kumung'unya wala kutafuna...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mie nilipiga kwata la paredi la kumuaga Nyerere as a president. Kulikuwa na Warrant Officer kiboko ambaye alifundisha hiyo kwata. JKT tuliwashinda hata ma cadets wa Monduli (mkuu wa chuo ndo aliongoza paredi). Amini usiamini, baada ya miezi mitatu ya kwata, unalala na kuota hilo paredi. , Yaani tulikuwa kama robots...
    Blackmpingo, A COY Ruvu JKT opereshen Okoa

    ReplyDelete
  2. Fela Kuti ana nyimbo yake inaitwa Zombie. Kila nikiwaona hawa jamaa huwa naikumbuka hiyo nyimbo.

    ReplyDelete
  3. Sema Askari wetu wengine matumbo makubwa yanatokea mbele hiyo sio sifa ya Askari,naomba wapunguze matumbo tu.

    ReplyDelete
  4. Mie nakubali kabisa na wewe, matumbo ndani ya sare za jeshi aibu tupu, inaonesha wakisha maliza kwata basi zoezi ni kuku kwa mrija, hakuna tena zoezi sasa hatari kwa afya zao, na pia hatari wakati wa kukimbizana na wahalifu. wakuu wajeshi wekeni sharia fulani kudhibiti matumbo.

    ReplyDelete
  5. AKINA RAS MAKUNJA NA PAMBA MPYA! SI MCHEZO,MIE NAWAPENDA SANA NA
    GWARIDE LAO HAWATAKAGI UTANI,HILA NINACHOJIULIZA ULE MZIKI WALIOWAPA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MBONA ULIKUWA MDOGO?

    ReplyDelete
  6. Nani anasema akina Ras makunja hawana nidhamu? sio unaona jinsi walivyo simama hapo wanangoja amri,harafu mziki uwanze..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...