Meli ya mizigo kubwa kupita duniani zilizowahi kutia nanga katika bandari ya Dar es salaam iitwayo A LadyBird Panama yenye urefu wa mita 232 (viwanja viwili vya mpira) na yenye ghorofa 11 imewasili jijini leo ikitokea China kuleta mitambo na magari kibao ya mradi mmoja wa madini. Meli hio ambayo ilifika Dar jana na kulazimika kungoja hadi leo wakati kina cha maji kimejaa, ina uwezo wa kubeba magari 8,000 kwa mpigo, ambapo bongo inaingiza takriban magari 5,000 kwa mwezi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni mradi gani huo mkubwa? na huo mgodi utakuwa wapi?

    Mdau
    Ship-Spotter
    Ferry Dar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...