Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Duh! umewapatia wewe hata sijui niseme vp,nway picha inajieleza big up mkubwa.

    ReplyDelete
  2. he he he hii cartoon ipo juu.Natumai ndugu zetu wamejifunza na hawatarudia.

    ReplyDelete
  3. Michuzi hii ni kali kupitiliza,waandishi kuingia bila zana zao ni sawa na kuingia uchi.

    ReplyDelete
  4. DU! hii kali
    Ankali wewe ulikaa nyuma au mbele. Hata ile tisheti yako hukuruhusiwa kuivaa.

    ReplyDelete
  5. ndugu zangu Wa Salaaaam alaykum!
    jamani nyie mmeelewa??
    sisi wenye small vichwa tunaomba kufafanuliwa.
    bwana ali ni nani?
    no problem ; what was the problem??
    infact hata ungetaka tuyache getini tungeyaacha tu baba; ni MANINI yanatakiwa kuachwa getini?
    call a spade a spade and help clarify..
    asante.

    ReplyDelete
  6. Nakubaliana na wewe Nathan, wahariri walioshiriki mkutano na huyu jamaa si wazalendo, sio professionals, sio wapiganaji, ni 'yes sir' kila kitu, sijui walipewa bahasha? Yeye ni nani mpaka akatae kupigwa picha? Aliwaitia nini sasa! Watakubalije mwaliko wenye masharti ya kijinga namna hiyo? Na kama yeyote angempiga picha angemfanya nini!? Kweli wemedhalilishwa, wamevuliwa nguo kama katuni yako inavyoonyesha, ni aibu kubwa kwa taifa kwamba mpaka vyombo vya habari tena wahariri wanazuiwa kufanya kazi yao kwa haki nao wanakubali!

    ReplyDelete
  7. Hahahahaha....kwa kweli hii safi! Big up Nathan. Haya ndo yalitokea...!
    Halfu jina lake..Ali Hadaiwi...heheheheh

    ReplyDelete
  8. haahaa umewapatia donge lao. Welldone

    ReplyDelete
  9. duu kweli somo la haki na sheria linabidi lianzie kufundishwa chekechea...

    ReplyDelete
  10. Hii ndiyo bongo! kama samaki... twavuliwa tu.

    ReplyDelete
  11. Hongera Nathan kwa display picha ambayo inajieleza vizuri!!
    Waandishi wajifunze kutokana na katuni hii,
    mtu aliyeleta utata wa dowans tena hataki kupigwa picha...
    Haikubaliki!!

    ReplyDelete
  12. wapi ?uhuru wa vyombo vya habari na watenadaji wake?
    mwarabu anaingia nchini na kutunga sheria zake ambazo
    wandishi wa habari wanasalimu amri mbele ya mwarabu,
    nchi kwishney

    ReplyDelete
  13. Kwa nini muwalaumu waandishi wa habari? Wanaosimamia haki za wananchi wako wapi? Nyie kama mmekunywa pombe, waandishi walipewa kitu kidogo, shida yao ni nini. Ufisadi wa Dowans ni tatizo la waandishi au ni la watanzania wote. Wote tuamke tupigane vita ya Dowans.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...