Mmasai wa Ulaya ndani ya Jiji la Mbeya...kumbe wanapenda kuiga vya kwetu pia...Picha na mdau Rashid Mkwinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Usipothamini chako usitegemee kuthaminiwa na wengine ila ukitaka kithaminiwe kithamini kwanza wewe kabla ya kuthaminiwa na wengine. WATANZANIA TUJIVUNIE VITU VYETU KWA KUFANYA HIVYO TUNALIJENGA TAIFA LETU.

    ReplyDelete
  2. Mavazi yetu yanapendwa karibu mataifa yote ya magharibi. Kila upitapato umevaa mavazi ya kiafrika wazungu huwa wanatamani na kutaka kujua zaidi kwani wao wanaamini mavazi ni moja ya utambulisho (identity) wa jamii/kabila au taifa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...