Msanii Mpoki akiaga baada ya kutimuliwa katika Kili Music Awards 2011 Aacademy ambako akiwa mmoja wa wadau 100 mbalimblai toka kila nyanja yeye kabainika kuwa ana nyimbo inayoshindana hivyo kisheria ikabidi aombwe awe mpole na aondoke ukumbini kwa hiari yake...Mpoki akiaga baada ya kutolewa baruti
Haya jamani....nilkikuwepo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Anko tuambie basi kisa nini tupo nje ya nchi matukio km haya yanauma kweli yakikupita

    ReplyDelete
  2. Jamani mzee Mpoki ilikuwaje mpaka akatimuliwa kwenye music award? Ameiba wimbo wa watu au?

    ReplyDelete
  3. Mtoa habari hebu elezea vizuri basi. Sio wote tupo bongo hatujui kinachoendelea na hiyo sheria inasemaje na hao wasanii wengine 100 waliondoka pia au la? Na kwania hakujua hilo kabla ya kuhudhuria hiyo party au kwanini alialikwa wakati waandaaji wa party walijua hayo? Habari nusu nusu si njema wajameni

    ReplyDelete
  4. Hivi mpoki ana ungugu na model fiderine iranga?

    ReplyDelete
  5. Nahitaji fulana yenye chata kama hilo la fulana ya mpoki

    ReplyDelete
  6. Utakuta alikuwa ametowa opinions zinazopingana na wengine.Si unajuwa mambo ya kwetu hakuna uhuru.

    ReplyDelete
  7. nilivyoelewa ni kwamba huyo bwana alikuwa mwamuzi lakini ana wimbo wake ambao unashiriki mashindano 'so conflict of interest' kwa lahaja ya mama

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...