Mlimani Park Orchestra wakifanya mambo yao katika tamasha la Sauti za Busara linaloendelea katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.Bendi ya Orchestra Poly Rythmo De Cotonou kutoka nchini Benin ikitumbuiza katika tamasha la Sauti Za Busara,Ngome Kongwe Zanzibar usiku wa kuamkia leo.Bendi ya Groove LeLe kutoka katika visiwa vya Reunion ikifanya mambo yake.
Ngoma ya Asili ya Kizanzibar inayofahamika kwa jina la Sitaki Chuki Kidumbak chini ya Mzee Makame Faki Sauti ya Zege iliburudisha vivyo ndani ya Ngome Kongwe usiku wa kuamkia leo.

kwa picha zaidi

BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...