Align RightMdau wa Glogu ya Jamii aliyopo visiwani Zanzibar,aliwakuta vijana hawa maeneo ya Malindi wakiwa katika kijiwe chao huku wakitumia mihadarati bila wasiwasi wowote kana kwamba ni matumizi yaliyo halali,sijui Serikali inachukua uwamuzi gani kulitokomeza kabisa swala hili??
huyo mwanadada pia ni mmoja wa watumiazi wa mihadarati hiyo.
hapa jamaa wakiweka sawa mambo yao.
hapa biashara ikifanyika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa migodi ambayo hao jamaa wangefanya kazi mnawapa wazungu mtawalaumu kula hiyo midude?

    ReplyDelete
  2. Hizi ni biashara za wakubwa,itachukua muda mrefu kumaliza tatizo hili Tanzania,Tujue kuwa tusipoangalia tutakuwa na generation mbaya miaka michache ijayo,maana kwa sasa ni kama tunapanda mbegu na mavuno yatakuwa mabaya kama inavyoonekene hivi sasa.
    Mungu ibariki Tanzania.
    mdau Oslo,Norway.

    ReplyDelete
  3. jamani hivi polisi hawapajui hapo. huyo dada ni nini kujitia
    kuvaa ushungi na huku anatumia drugs.

    ReplyDelete
  4. Pombe ya gongo inatakiwa iwe halali,manake ni bei rahisi kabisa,ni bola wawe walevi kuliko namna hiyo...
    Eti selikali ifanye nini,nyumba za bei mbaya na magali ya kifahari unataka ayaendeshe nani jamani,wakati wengine awana vyeo maserikalini na hii ndio njia ya kujipatia mifedha ya nguvu...
    hao wote tutawazika na over dozi akuna rehab bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...