Home
Unlabelled
kampuni ya pikipiki ya fekoni yapewa cheti cha ubora toka TBS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bado haijaniingia akilini , hao Fekon wana kiwanda hapo cha kuunganisha pikipiki au ni kama duka tuu la kuuza pikipiki. Kama ni wauzaji tuu sioni mantiki ya TBS kutoa cheti cha ubora kwa kitu kilichoingizwa tuu toka nje bali kingekaguliwa kama vingine.
ReplyDeletemimi
Tatizo sio cheti cha TBS. Piki piki zinaua Tanzania kwasababu hamna sheria zinazofuatwa barabarani. Piki piki ziwe vijijini maybe. Pikipiki kama chombo cha usafirishaji (Kwa malipo) sio sahihi. Vijana wengi hawazingatii sheria na hawajui kuendesha hizo pikipiki.
ReplyDeleteLicha ya hilo, hawana upeo au good decision making capabilities wakati wa ajali.
Toa hiyo cheti cha TBS kwa waziri wa transporti - mtashindwa...kila siku wananchi wanauwawa on our roads in Tanzania na mpaka leo hatuma kipimo chochote cha kupima mauwaji kweye mabarabara zetu za Tanzania - kwanini hatuna anayetaka kuchukua reposnsibiltiy? even TBS ni Chau Chau tupu - Mheshimiwa Kikwete - please do something to stop the road carnage in Tanzania.....Please -
ReplyDeletejina lenyewe linajieleza FEKI he he he he he he kazi ipo mwaka huuu.
ReplyDeleteUmesema kweli hapo juu no moja aliyewaza kutoa hichi cheti huko ajiuzulu. Najua huyo kiongozi kazi yake ni kukabidhi tu lakini waandaaji wa haya majambo watueleze lini importations zilizotengenezwa sijui wapi huko tunazipa ushindi.
ReplyDeleteAu ina maana waagizaji toka China hawatapewa hiyo zawadi kabisa....AIBU
Nyie walalamikaji nanyi hamuoni kuwa huo ubora umepimwa kwa kuwepo hao warembo juu ya hizo pikipiki!lol!
ReplyDeleteNahitaji pikipiki aina ya fekoni 125 kwa bei ya jumla ? Pikipiki 10
ReplyDelete