Balozi wa Tanzania nchini Uingereza,Mh. Peter Kallaghe akitoa ufafanuzi kwa wadau kuhusiana na mambo mbalimbali, pembeni yake akiwa na mama Balozi Mrs Joyce Kallaghe pamoja na mama Maria wakifuatilia mada hiyo kwa makini.
kushoto Frank, Mh Balozi na Nocha katika picha ya pamoja.
Wadau wakisikiliza kwa makini huku wengine wakitaza Kamera.
Mh Balozi alieambatana na mama Balozi wakiwa na Viongozi wa TA pamoja na crew ya urban Pulse.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...