Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2011

    hehehe havard ya uswazi...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2011

    simchezo haya sasa mnaorudi kutoka marekani pelekeni wanenu havard.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2011

    Hapo nasikia ndipo aliposoma "Mzee wa Vijisenti" na kugraduate.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2011

    Hayo majina mengine wenyewe wakisikia watakuja kukukamateni. Mweeeeh!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2011

    Hivi Mmarekani anapokuja nchini na kukuta kitu kama hiki huwa wanajisikiaje zaidi ya kuzidi kutudharau.Hivi ukiita Madenge au Miembe saba Ubora unapungua?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2011

    HEEEEEEEEEEEE,HII SHULE YA AKINA MADENGE,IPENI TU JINA LAKE NI UWANJA WA FISI MTAPATA WATEJA KULIKO KUIGA MAMBO USIYOYAJUA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...