Mhe. Rostam Aziz
UTANGULIZI

WAZEE wangu, kwanza kabisa kabla ya kueleza kile ambacho kimenisukuma kuzungumza nanyi leo, napenda kuanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kufikia siku hii ambayo inatukutanisha waja wake.

Wazee wangu wa Igunga, baada ya kufanya hivyo napenda pia kutumia fursa hii kuwashukuru ninyi nyote mmoja mmoja na katika umoja wenu kwa kuitikia wito wangu, kijana wenu, niliyewaomba nije nizungumze nanyi siku hii ya leo.

Nafanya hivyo nikitambua vyema kwamba, kama si nyinyi wazee wangu na wengine wengi ambao hatuko nao hapa leo kwa sababu mbalimbali, ambao mmekuwa na imani kubwa nami nisingeweza kufikia hapa nilipofika sasa.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 38 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2011

    Na bado, wengi tuu watafata!!

    ReplyDelete
  2. MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ,NACHUKUA FURSA HII KUKUPONGEZA KWA DHATI KWA UAMUZI ULIOCHUKUA.UMEONYESHA UKOMAVU KISIASA KWA KUKUBALI KUACHIA NGAZI.MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI WEWE NA FAMILIA YAKO.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2011

    Huu ndio msingi wa utawala bora. Hongera Bw Rostam kwa kuchukua uamuzi wa busara.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2011

    Alaaaaaaaaaa kumbe kweli ... mi nilijua Rumours tu ............. duh

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2011

    Naona dhana ya kujivua gamba imeshaanza kufanya kazi. All the best katika maisha mapya ya kibishara zaidi kuliko siasa

    ReplyDelete
  6. mdau wa DarJuly 13, 2011

    Mzee wetu tunakushukuru kwa 'huduma' yako uliyotoa kuitumikia nchi yetu na hasa jimbo la igunga. tunakushukuru kwa kuona mbali na kujitoa maana wale wabunge chadema hawatawaacha wazee wenzako, wataendelea kusema ukweli na kudai haki ya waTanzania wote. Uwashauri vizuri nao wafanye uamuzi wa busara kabla hawajavuliwa nguo zote....

    Kwa wazee wetu walioko mitaa ya feri naomba msiache hili jambo liishie hewani maana kujitoa serikalini wakati ushaharibu sio kigezo cha kukwepa mkono wa sheria na kuendelea kuumiza wananchi walioshadhulumiwa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2011

    kweli siasa its a dirty game.. Hapa nashindwa kupambanua ukweli ni upi na uongo ni upi sababu CCM wanachafuana wenyewe. Wito kwa wanasiasa na viongozi wa nchi yetu ni kuwa wa kweli na wazalendo wa nchi hii. Rasilimali zetu zinapotea, ukoloni mambo leo unazidi kushamiri yaani ni heri enzi za mkoloni kuliko leo hii. Kuna wakati machozi huwa yanani toka jinsi wachache wanavyojilimbikizia mali na wananchi walio wengi wanataabika. Tanzania si nchi masikini ila viongozi wake wanashindwa kuweka policy endelevu kuendeleza rasilimani kwa manufaa ya watanzania wote. Hatukatai iba kidogo lakini give back to the society.

    Big up Rostam uamuzi mzuri onyesha njia na ipo siku ukweli tuatajua nani ni mbaya ndani ya CCM. CCM Oyeeee.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2011

    I am shocked na uamuzi huu. Nadhani ni ukomavu wa hali ya juu sana ameuonyesha. But i am worried na siasa za kiafrika. Sina uhakika kama ni uamuzi sahihi sana. Siasa zetu zinaongozwa na kung'ang'ania humo humo kwa kuogopa repercussion or backlash.
    Kwa maana hiyo wapo wengine watakaomfuata au ndiyo utakuwa mwisho?

    Hongera RA

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 13, 2011

    Ha ha ha ha .....Sasa sio kuishia hapa tukapambane Mahakamani kusafisha jina!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2011

    Watanzania hakili zenu wanazichezea kama mpira wakona.

    ReplyDelete
  11. Hungers sans RA. Kwa kweli speech uliyotos ipo makini sana . Kwenye siasa kumchafua mwenzako Ndio kula keako. Sins hakika naadai yaliyotolewa dhidi yako. Cha msingi ni kwanbo Kama wewe ni mtu safi siku moja watu watakukumbuka.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 13, 2011

    I love you Rostam, all in all nina ukubali uogozi wako. Mungu akulinde

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 13, 2011

    Hongera sana Mheshimiwa Rostam.
    Lakini hii hotuba ya masaa mawili na ushee, una uhakika wazee waliielewa yote au wengine walikuwa wamelala? Nadhani hotuba inayowajali walengwa ni ile inayozingatia walengwa. Hata kama nia ni kutoa ujumbe kwa taifa zima, lakini muhimu zaidi ni hawa waliombele yako. Je umewajali, umewalenga, yote unayoyazugumza mko nao pamoja?

    Hata hivyo, nakusifu kuwa umeonyesha mfano mzuri. Haipendezi kuona watu wanakaa madarakani wanakaa madarakani mpaka nguvu zinawaihia au umauti unawakuta. Ukistaafu ungali una nguvu na uwezo unapata nafasi ya kuwashauri wale wapya watakaokuja.

    Good luck on your business!

    Mdau,
    Mbeba box

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 13, 2011

    Inabidi watanzania tuwe kama arab country hivi tutapiga kelele mpaka mwisho wadunia kwani wananchi ndio wenye uwezo kubadilisha yote ambayo tuna piga kelele kwasababu uwongozi wote unaitaji kubadilika viongozi wenge wachafu pamoja na watumishi wa chini wasekta zote.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 13, 2011

    Udhaifu huo, hufai kuwa kiongozi. Ulitakiwa kuganga. Hii utafanya wewe peke yako hakuna mtu atafanya hivi.

    ReplyDelete
  16. ningefurahi kama ningefahamu zile tuhuma zooooote ni ukweli ama laa, maanake kujihudhuru hivi hivi hakutoshi, kama ni uwongo basi aende mahakamani akajisafishe, maana sie wananchi wake tunamtegemea sana, na wabaya wake wawekwe wazi, haya mambo ya kuishia juu kwa juu, sie hatuyataki kabisa... ili mradi njuruku ziliibiwa basi zirudi kama si hivyo falsafa nzima ya kujivua gamba itakuwa haina maana halisi... mungu wabariki wananchi wa kawaida wa TZ wapate haki yao..

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 13, 2011

    vijana msilale lalelale vijana msilale bado mapambanoooo

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 13, 2011

    big up sana ROSTAM AZIZ kwa kuonyesha demokrasia ya kweli mungu akubariki katika maisha yako mapya ya biashara
    Ray thehustler

    ReplyDelete
  19. nshimimana aka dumisaneJuly 13, 2011

    wabongo bwana, UKIONDOKA ng'waaa, UKIBAKIA ng'waa.. mnanikumbusha mama watoto wangu samtimes.

    - - -
    buffalo,
    new york

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 13, 2011

    Big Up Rostam, Kuitoa Igunga ya mwisho kimkoa hadi kuwa ya kwanza. What a shame kwa wabunge walioozeekea bungeni na majimbo yao yamezidi kudidimia. Nadhani kuna mengi yataelezwa. Upande wa pili wa RA unaonekana.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 13, 2011

    kila la kheri rostam uliyoyafanya igunga hakuna hata mbuge mmoja huko nyuma aliyafanya leo hii igunga si ile ya miaka hiyo igunga ya leo mpya sababu ya nguvu zako na kujitolea kwako kwa mali na hali,hao wengi wanaokusema ni njaa tu zinawsumbua lakini pamoja na yote leo hii tunajidai na igunga yetu maana bila wewe nina hakika kwa wabunge wengi wa kibongo wasingefanya uliyoyafanya,uliweza kutoa vifaa vyako vya ujenzi sbb ya ujenzi wa mabwawa vijijini na umepigania mpk igunga ikapata umeme,huduma ya simu,hospital nzuri na leo hii igunga kuna magereza yote ni sbb ya utawala wako na juhudi zako na ushirikiano na wana igunga,na kufafananisha km gadaf mengi anawafanyia wananchiwake lkn watu wa nje hawajui wanamuona mmbaya lkn nasema igunga wata kukumbuka daima,sidhan km kuna mbuge mwingine atakae fuatia atayafanya uliyofanya.kila la kheri huko uendako waache wapiga makelele na njaa zao hao wanao jiita vijana wa CCM.

    ni mimi niliefaidika na utawala wako
    toka ughaibuni,LAS VEGAS,NEVADA.
    USA.

    baraka

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 13, 2011

    HONGERA SANA MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ,UMEONYESHA UKOMAVU WA HALI YA JUU WA KISIASA AMBAO NI NADRA SANA KUONENEKANA KWA VONGOZI WA KIAFRIKA.TUHMA HIZO WANAZOKUPA ZIWE KWELI AU UWONGO BUT MUHIMU HAKUNA EVIDENCE.KWA HILI ULILOFANYA UMEONYESHA UKO JUU SANA KIFIKRA KUSHINDA HAO WANAFIKI WANAOCHEZA MICHEZO MICHAFU YA KISIASA.UMEIWEKA IGUNGA JUU KULINGANISHA NA UMASKINI WA WILAYA NYINGI AMBAZO WABUNGE WAKE KAZI ZAO KUPIGA DOMO NA MAJUNGU LAKINI UTENDAJI NI "ZERO".
    MUNGU AKULINDE WEWE NA FAMILIA YAKO INSHALLAH KUNA SIKU UTARUDI TENA,NYIE NDO VIONGOZI TANZANIA TUNATAKIWA KUWA NAO.
    KULA ISHIRINI NA SIO TANO TUU.

    MDAU WA OXFORD, UK.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 13, 2011

    hahahahhahaaaaaa!!!!!mwenzake ndo kwanza anaenda kuomba kura za 2015 kwa wakina mufti Simba. Dah!! Tz burudani kweli kweli!!! Kama vp nenda kabisa `katibiwe` US kama Balali. Hapa sasa hiv patanuka hapa!!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 13, 2011

    Huyu alidraft hii speech anajua kweli. Yani kanilazimisha nyeusi niione nyeupe na mwili ukawa convinced kabisa kwamba hii ni nyeupe, sema very deep in ma heart ndo kumebaki ngangari na hakujawa tempted na haya maneno matamu

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 13, 2011

    HAYA NI MAMBO YA MAISHA HUBADIILIKA KILA KUKICHA .

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 13, 2011

    Smart Boy!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 14, 2011

    Oooophss! At last, sasa tutapumua kidogo duuuh. Any way taarifa yako imetufikia, tukipima na tuhuma zilizokuwa zinaelekezwa kwako. Sisi wana wa nchi hii yenye utajiri wa rasilimali lakini maskini, tunatafakari na kupima utetezi ulioutoa. Inaonesha umegundua mambo sio shwari huko mbele. Tunasubiri na kina nanihino nao wasepe sijui watatoka kwa staili gani.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 14, 2011

    Ningekuwa Rais mimi ningekuteua kuwa Regional Commissioner wa Tabora uiendeleze vizuri Tabora. Excellent job Mr. Aziz and God bless you for what you have done!

    Mmbeba Box
    Canada.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 14, 2011

    amejivua ki vile kuridhisha jamii kuwa yeye si fisadi, lakini ataen delea kuwa mfadhili mkuu wa ccm.ni haina kona.watu wake bado wako ccm.lazima aendelee kuwalisha kama alivokuwa anafanya,mfadhili mkuu wa chama ati.bila yeye ushindi hakuna.mtu mapesa bana.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 14, 2011

    hilo jimbo limebakia kwa chadema,tusubiri mapambano ya uchaguzi.chadema mnazidi kupata majimbo,hongereni sana.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 14, 2011

    RA kaonyesha njia lakini je wengine waliobaki wataondoka lini?

    ReplyDelete
  32. AnonymousJuly 14, 2011

    Sasa hivi nimeielewa vizuri tabia ya watanzania. Kumbe ukiwaibia halafu ukawarudishia hata 1% ya ulichowaibia wataendelea kukusifu na kukuenzi na kukuombea baraka nyingi ili uendelee kuishi na kuwaibia. Nikipata nafasi ya uanasiasa nami nitafanya hivyo kwani bila kuwaibia utaonekana fala. Mwisho wakikugundua unandaa hotuba nzuri na kuwakumbusha 1% uliyowarudishia kama kigezo cha uchapaji kazi wako.

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 14, 2011

    huu ni usanii

    ReplyDelete
  34. AnonymousJuly 14, 2011

    Dr. Slaa alisema ukweli tangu mwanzo, maana yeye ndiye aliyeleta kashfa nyingi za ufisadi alizohusika huyu Rostam.

    ReplyDelete
  35. AnonymousJuly 14, 2011

    Ras JOB IR.

    BORA KAKA NENDA KAWASAIDIE WACHUKUE ZAHABU FRESH, MAANA
    UNABUSARA NAONA WOTE WANAKUSIFU KWA USHUJAA USIO NA MAANA
    HAUKUA KIONGOZI MZURI KWA NCHI YETU NZURI, MTIKILA ALISEMA ULIKUJA BILA KITU HIVI NI KWELI?????

    TUACHIE BWANA LOWASSA MZEE TUNAOMBA UCHUKUE NCHI ILI USAFISHE MZEE UNAO UWEZOO TUSAIDIE BABA USIONDOKE MZEE TAFADHALI.

    ReplyDelete
  36. AnonymousJuly 14, 2011

    Siku zote mtu atedaye mema, siku zote hulipwa mabaya.shukurani ya pinda .............

    ReplyDelete
  37. AnonymousJuly 14, 2011

    UMESHARUDISHA VIJISENTI KWENYE AKAUNTI SASA UNAKIMBIA

    ReplyDelete
  38. AnonymousJuly 15, 2011

    HUNA LOLOTE ISSA MICHUZI COMMENTS ZOTE UNAWEKA HAPA ZA KUMSIFIA HIVI UNAFIKIRI SIE WOTE TUNA MAONI MAMOJA SIONI HATA COMMENTS ZA KUMSHUTUMU AU USHAPEWA CHAKO HAPA

    JANA NIMETUMA COMMENTS ZA UKWELI MTUPU UMEBANIA NA WALA HUJATOA NIMEAMINI NA WEWE NDO WALE WALEEEEEEE

    NDOMANA KIPINDI CHA UCHAGUZI WATU WALIKUTUHUMU SANA NIKAFIKIR WANAKUONEA KUMBE HUNA MAANA HATA KIDOGO. ACHA COMMENTS ZOTE AONE JINSI WATU WANAVYO IFIKIRIA JINSI GANI ALIVYO MUONGO NA KUTUDANGANYA NA MANENO YAKE MATAMU WAKATI ASHA CHOTA NA ALICHOKIPATA ASHAKIPATA
    HAT AKIJINGATUA NI KAZI BURE

    WEKA COMMENTS ZOTE UNABANIA ZA NINI

    YABINTY HAPA NA HII BANIA TENA NAKUWEKA KIPORO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...