Mama Salma Kikwete (Wa Pili Kushoto) akiwa na Mjane wa Prof Samuel Mushi(Wa Tatu Kushoto)Pamoja na Mtoto wa Marehemu Prof  Samwel Mushi Bi Susan Mzee na dada zake alipotembelea Familia hiyo kutoa salamu zake Za Rambirambi  Jijini Dar es Salaam

Ndugu na Jamaa wakiwa Pamoja na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alipotembelea Familia ya Prof Samwel Mushi kutoa  salaam za rambirambi  jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...