WATOTO wa skuli ya Kidutani wakicheza beni (mbwa kachoka) katika sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Mzanzibar la 17 lililofanyika katika ufukwe wa pwani ya Nungwi hivi karibuni.
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2011

    Jaman watoto wamependezaa hadi raha wanawakilisha vilivyo alaf na huyo mwingine naona anapinda na mgongo kabisaa hee Kizazi cha karne hii kipo juu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2011

    Anaiga twanga pepeta huyo masaa 24 wapo tv ini. Mzee alinde maana wasije wakamnanihii!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2011

    Ni nzuri sana imependeza kila la mafanikio

    sabri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...