Viingilio katika mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya mabingwa watetezi Yanga na Makamu Bingwa Simba itakayochezwa Agosti 17 mwaka huu kuanzia saa 2.00 usiku kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni kama ifuatavyo;

 Viti vya bluu sh. 5,000, 
viti vya kijani sh. 7,000, 
viti vya rangi ya chungwa sh. 10,000,
 VIP C sh. 20,000, 
VIP B sh. 25,000 
na 
VIP A sh. 50,000. 

Tiketi zimeanza kuuzwa leo mchana (Agosti 15 mwaka huu) kwenye vituo vyote vya mafuta vya Big Bon jijini Dar es Salaam. Pia zinauzwa katika baadhi ya vituo vya OilCom na TSN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...