NDUGU WANAVYUO WOTE NA AMBAO MNATEGEMEA KUJIUNGA NA VYUO MWAKA HUU NCHINI KOTE TUNAPENDA KUWAPA TAARIFA KUWA BODI YA MIKOPO TANZANIA  IMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WOTE AMBAO WAMEPATA MKOPO NA KIASI AMBACHO WAMEPEWA PIA NA WALE AMBAO HAWAKUWEZA KUPATA MKOPO HUO. TUMEWEKA HAPA PIA ILI KUWARAHISIHIA NA KUPUNGUZA MSONGAMANO MKUBWA AMBAO UPO KATIKA TOVUTI YA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA, HIVYO BASI TUNAOMBA MTAZAME HAPA TUMEWEKA MAJINA YOTE KULINGANA NA HERUFI. KUNA KUNDI A HAWA NI WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA NA KUPATA MKOPO  NA KUNDI B HAWA NI WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA BILA MKOPO  . TUNAPENDA KUWAPA HONGERA WALE WOTE AMBAO WAMEPATA MKOPO HUU NA TUNAWATAKIA MASOMO MEMA,NA KWA WALE AMBAO MAJINAYAO YAPO KUNDI B PIA TUNAWAPA HONGERA SANA NA  WAENDELEE KUSUBIRI NAFASI YA PILI WATAWEZA KUBAHATIKA KUWA HAPO. TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU NA ASANTENI KWA USHIRIKIANO WENU.


IMETOLEWA NA 
MATUKIO NA WANAVYUO CREWBOFYA HAPA KUONA MAJINA HAYO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza kwa wahusika, Je wanafunzi tunaoendelea na masomo nje ya nchi sisi hatupaswi kuwekwa kwenye orodha ya watanzania wanaofaidika na bodi ya mikopo? au kutokuwekwa inamaanisha ndio tumetoswa au inakuaje? maana tumeanza kuingiwa na hofu,hebu mtujuze tafadhari maana vyuo ndio vimeanza week hii na hakuna taarifa zozote kuhusu malipo ya pesa zetu za ada, nitafurahi sana kama tutahabarishwa kwa namna yeyote ile,
    mwanafunzi wa kitanzania ughaibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...