Ankal Nimevutiwa sana na huyu Mtanzania mwenzetu ambaye anachezea Chelse ya vijana. anaitwa Adam Nditi. Kijana ana bidii sana. Tunataka watu kama hawa ili wawe azina ya timu ya Taifa. Naomba uirushe ankal
 Adam Nditi katika mechi ya vijana kati ya Chelsea na Man U
 Adam Nditi kwenye mapambano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nakubaliana na wewe jamaa ana asili yetu ila tizama kote jamaa hana urai wa Tz at all inaonekana ni citizen of England so by that fact itamnyima kuchezea timu yetu ya taifa dual citizenship sidhani kama inakubalika kwetu

    ReplyDelete
  2. Profile yake inaonyesha ni Mwingireza lakini amezaliwa Tanzania kwa hiyo inaonyesha hawezi kuchezea timu yetu ya Taifa

    ReplyDelete
  3. iko pouwa sana dogo kiwango n kwa picha hizi naona yupo level ya juu sana n anaweza fika mbali...nimechek web fulani naona ina bahari za kiswazi pia http://michezolive.com/

    ReplyDelete
  4. Mwacheni aendeleze ujuzi wake akija hapa Tanzania tutaanza kumtumilia kwa mambo mengine yasiokuwa kwa faida ya Michezo

    ReplyDelete
  5. bongo kuna vijana kama hao wengi sana tena zaidi , hila viongozi awajali,adi siku mtu ajitume mwenyewe acheze mancher uko ndo utaona wanajishaua huyu mzawa wa kwetu. mwacheni dogo wa watu . wabongo amna kipiya namajifanya mnajua kuongea tu kila mtu anajifanya anajua wakati kazi amuwezi fanya. Am sure hata viongizi wenu wa chama cha mpira akuna anaye jua mpira ni kitu gani, maybe uwaulize tumbo ni kitu gani ndo watajua .

    mdau kenya

    ReplyDelete
  6. Ninamkubali kijana wetu Nditi wa Chelsea,hongera zake nyingi hapo alipofikia, maana si padogo. Kwanza kuingia Premiership football Club Academy ni kazi ya kufanya leave alone kupata scholarship for two yrs there after for preparation to become a professional footboller.
    Ni kweli kuwa huenda hataweza kutuchezea Taifa star for the time being kama ana ganda la UK hivi sasa, lakini hakuna linaloshindikana dunia ya leo.
    Nafikiri kuna haja ya kuwa na "Special Mission in Football for our Youngsters in ABROAD" hata ikawa under our government budget, iwe ni mikakati ya kuwa-identify vijana wa-kibongo wanaochezea vilabu vikubwa nje ya nchi katika ngazi kama ya Nditi, ambao bado ni Wabongo.
    Hawa watakuwa ni HAZINA KUBWA SANA KWA TAIFA STAR, na Taifa letu kwa ujumla, natabiri kuwa siku moja definately, watatuletea sifa taifa letu kwenye mpira wa miguu.
    Tukawatambua watoto kama hawa na kuwasajili mapema Taifa Star, itakuwa ni chachandu nzuri sana for Taifa Star's future.
    Ninavyojua Uingereza wapo vijana wengine wa level ya Nditi, kama vile wakina Kenna Mdimu Ngoma ambaye amekuwa Manchester City Football Club - Academy kwa muda mrefu, na hivi sasa yuko kwenye scholaship circle. Mwingine ni Robert Hiza ambaye naye anachezea level hiyo hiyo Uingereza. Hawa ni wachache tu, natumaini wako namba ya kutosha huenda mahala pengine duniani au wakaibukia wenginewe hapo baadaye.
    kinachotakiwa ni kutafuta orodha yao na kuiwakilisha kwa wahusika. Mnalionaje hilo wadau.

    ReplyDelete
  7. mwingine yuko chelsea naye ana asili ya TZ.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...