Kwa takribani miezi minne sasa,watanzania na watu wote wanaoongea au kutumia lugha ya Kiswahili wamekuwa wakiburudika na kuelimika kupitia channel mpya kabisa ndani ya DSTV inayokwenda kwa jina Africa Magic Swahili inayopatikana katika namba 127. 

Hivyo hutokosea ukiamua kuiita Channel 127 ya DSTV.Kama bado hujapata fursa ya kutazama Channel 127,nakushauri ufanye hivyo leo hii. Nini kilipelekea kuanzishwa kwa Channel hiyo ambayo kila kukicha inazidi kujipatia umaarufu?

Inawasaidiaje wasanii wa tasnia ya filamu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati katika kutimiza malengo yao na kupanua soko  lao?Je,utaratibu wa kuingiza filamu yako katika Channel hiyo kama wewe ni muundaaji,muongozaji au msanii wa filamu ukoje?

Ili kupata majibu kwa maswali hayo na mengineyo,nilimtafuta Meneja Masoko wa DSTV-Tanzania,Furaha Samalu(pichani). Huko mbele kuna maswali niliyomuuliza na majibu kutoka kwake.
Fuatana nasi nenda....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...