Toka kushoto ni Bw. Peter Makutian kutoka Hifadhi ya Ngorongoro, Naibu Spika Mhe. Job Ndugai (Mb), Bw. Joseph Machumu kutoka Hifadhi ya Ngorongoro, Bi. Julie Lyimo kutoka TANAPA,  Bw. Paul Makelele kutoka Ubalozi wa Tanzania Kanada, Bi. Robson E. Laseko kutoka Kampuni binafsi ya LAKE DULUTI Lodges iliyoko Tengeru Arusha,  Bw. Richard Masalu kutoka Ubalozi wa Tanzania Canada, Bw. Diocless Emmanuel kutoka TANAPA, Bw. Robson E. LASEKO kutoka LAKE DULUTI Lodges iliyoko Tengeru, Arusha na wa mwisho aliyesimama ni Bw. Pius Momburi kutoka Kampuni binafsi ya African Spoonbill Tours and Safaris Ltd ya mjini Moshi. Aliyechuchumaa ni Bw. Rashid Zara kutoka Zara Tours iliyoko Toronto Kanada. Wadau wote hawa wako katika maonesho hayo kutangaza vivutio vya Tanzania nchini Canada
  Balozi wetu Canada Mh. Alex Massinda akiwa na Naibu Spika Mhe. Job Ndugai kwenye Maonyesho ya Utalii ya Montreal. Wengine kwenye picha ni Bw. na Bibi Robson E. Laseko 

Mhe. Balozi na Naibu Spika akiwa kwenye  picha na washiriki kwenye Maonyesho hayo  kutoka TANAPA, Hifadhi ya Ngorongoro na Ubalozi wa Tanzania, Ottawa, Canada.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Katika kipindi hiki ambako nchi jirani zetu kuna tishio la ugaidi. Sisi ndio tuongeze juhudi za kutangaza utalii wetu. Tutumie slogans mbalimbali kama vile " ...your tour will be always safe with us", "...Tanzania takes you safely.... bla bla. Hii ndo nafasi yenyewe tusilaze damu nyie bodiya utalii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...