Mkuu wa kitengo cha Elimu na utawala wa Chuo kikuu cha Mkwawa mkoani iringa,Prof G. D Mrema akizungumza na wahitimu wa shahada mbalimbali wakati wa mahafali ya chuo hicho, Mahafali hayo pia yalitumika kama sehemu ya maadhimisho ya kutimiza miaka 50 ya chuo hicho.
Mmoja kati ya mwanafunzi wa Mwaka wa Pili kitivo cha Kemia alietunikiwa Kompyuta aina ya Laptop toka kinywaji cha Grand Malt kwenye mahafali ya chuo kikuu Mkwawa mkoani Iringa.anaemkabidhi zawadi hiyo ni Mkuu wa chuo hicho Prof Pak Mushi.
Mmoja kati ya mwanafunza wa Mwaka wa kwanza kitivo cha Kemia alietunikiwa Kompyuta aina ya Laptop toka kinywaji cha Grand Malt kwenye mahafali ya chuo kikuu Mkwawa mkoani Iringa,anaemkabidhi zawadi hiyo ni Mkuu wa chuo hicho Prof Pak Mushi.
wahitimu wa Shahada ya Elimu wakitoa salamu ya Heshima kwa mgeni rasmi kabla ya kutunukiwa vyeti vya shahada ya kwanza kwenye mahafali ya Chuo kikuu cha Mkwawa yaliyodhaminiwa na kinywaji cha Grand Malt kinachotengenezwa na kampunin ya bia Tanzania (TBL).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi navyo vioja, yaani Tanzania ni mtafutano tu kila kona.

    ReplyDelete
  2. nadhani tunakwenda mbali, mahafali kudhaminiwa!

    Sina uhakika kama ni jambo jema.. mahafali ya elimu za vyuo vikuu hayahitaji kudhaminiwa na kampuni/kiwanda au mtu yeyote...

    ReplyDelete
  3. issue hii ya TBL kushiriki katika price giving ceremony ilikataliwa siku nyingi chuo kikuu. Sijui wamemhonga nani akakubali. Sidhani kama senate la chuo imepitisha hii na kama imepitisha basi tumekwisha. Wao wanataka kupamba matangazo yao ya kilevi na this is not only unethical in an academic instituion, it is wrong. Where are we heading to, how much is the TBL contribution in the development of Unversity of DSM.

    ReplyDelete
    Replies
    1. You guys always talk kwa kila kitu kikifanyika sasa if its academic institution haziwezi kupata leisure kama hizi siku moja moja ataivo ulitaka kiwanda cha kanga ndo kidhamini.... Lol..

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...