Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akifungua rasmi mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Rais wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA) ,Bw. Errol Frank Stoove akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau akizungumza machache wakati amkimkaribisha mgeni rasmi kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA),Bw. Hans-Horst Konkolewsky akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Washiriki kutoka nchi mbali mbali za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha leo.

kwa picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...