THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

simba tv yazinduliwa kwa kishindo jijini dar,wadau kibao washuhudia

Mgeni rasmi Kassim Majaliwa akimlisha keki Mwenyekiti wa Simba Sc,Alhaji Aden Rage huku wageni waalikwa meza kuu wakishuhudia tukio hilo.
Keki yenyewe ilivyokuwa imenoga.
Nianze nani kumlisha jamaani....! Mwenyekiiiiitiiiiiiiiii.
Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa akikata keki huku sehemu ya meza kuu ikishuhudia tukio hilo adhimu na ka kihistoria.
Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa,akibofya kitupe kuzindua rasmi kipindi cha Simba TV kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha cha runinga cha Clouds,hafla hiyo imefanyika kwenye jengo la Quality Center  kwenye ukumbi wa Cleopatra,jijini Dar,Kulia ni Mwenyekiti Msaidizi Simba,Geofrey Nyange 'Kaburu'Mh  Alhaj  Kapuya na shoto ni Mwenyekiti wa Simba Sc Alhaj Ismail Aden Rage,na Afisa habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga 
Makofi tafadhali..!Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa,akipiga makofi mara baada ya kuzindua kipindi cha Simba TV kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha cha runinga cha Clouds,hafla hiyo imefanyika kwenye jengo la Quality Center kwenye ukumbi wa Cleopatra,jijini Dar,Kulia ni Mwenyekiti Msaidizi Simba,Geofrey Nyange 'Kaburu'Mh  Alhaj  Kapuya na shoto ni Mwenyekiti wa Simba Sc Alhaj Ismail Aden Rage,na Afisa habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga kwa pamoja urwakipiga makofi kufurahia uzinduzi huo uliofana kwa kiasi kikubwa. 
Kulikuwepo na ufunguaji wa shampeni kabla ya kukatwa keki kama hivi pichani.Picha zaidi Bofya Hapa

Kuna Maoni 27 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    kila kitu kimekaa safi. ila du huu mchezo wa kulishana keki ulianza lini jamani?

    wenu

    Mr Inanitiar Kichefuchefur

  2. Anonymous Anasema:

    Hongera sana Simba.Hivi "sisi yanga" tuna kituo cha Luninga?Simba TV kama Liverpool TV..!!

    David V

  3. Anonymous Anasema:

    Hii TV yenu ya asilia ya 'Mtungi wa Maji' kama Ramli ya Mganga wa Kienyeji ndio itawafaa ili MABAO YAKIZAMA NDANI YA NYAVU ZA MSIMBAZI BAADA YA KUTUMWA KUTOKEA JANGWANI MTAYASHUHUDIA ''LIVE'',,,KAMA DAR LIVE!

  4. Anonymous Anasema:

    Televisheni yenu 'Uchwara' ya Msaada wa Clouds ndio mtashuhudia kwa macho yenu jinsi 'Mkuki wa Moto Ukizama ndani ya Moyo wa Mnyama'

    Asamoah, Asamoah, Asamoahhhhh Gooooooooooo!

  5. Anonymous Anasema:

    Simba Tv au Simba Show

  6. Anonymous Anasema:

    Blog ya jamii tutaomba na matokeo ya Cairo kadri mnavyoyapa.Tunawategemea sana

  7. Anonymous Anasema:

    Klabu kubwa akama Simba yenye washabiki kibao bado mnashindwa kuanzisha kituo cha kurusha matanganzo kwa njia ya Televisheni?

    Yaani Simba mnawapa ulaji Clouds kupitia Simba Show programme?

    Kweli kunatakiwa viongozi wabunifu ili Yanga na Simba ziwe kama Chelsea Tv, Liverpool TV , n.k

  8. Anonymous Anasema:

    Mdau mwenzangu David V.

    Hizi Hongera za Simba TV kama Liverpool TV ,Hizi hongera ziambatane na Pole kwa kuwa itakuwa machungu zaidi pale Msumari wa Yanga SC. utakavyokuwa unatazamwa unazama ndani ya mbao ya Simba SC. tena live kupitia TV yao wenyewe!

  9. Anonymous Anasema:

    Simba SC. Mtafunga wenyewe Kituo chenu cha Luninga mtakapoona kwenye TV yenu 'Minemba inazama Wavuni kwenu live' ikitokea tena Yanga S.C!

  10. Anonymous Anasema:

    Hongera Simba S.C isipokuwa TV inaweza kuwaletea maafa zaidi kwa Mashabiki wenye midadi.

    Ile tu Kenneth Asamoah anazamisha 'Msumari' dakika ya 89 na sekunde 55 hivi Mashabiki wanazimia wanakimbizwa Hospitali sembuse ije kuwa Stesheni ya Luninga ipo Klabuni Msimbazi?

    Thubutu,,,labda Mtangazaji wa hiyo TV awe Mwana Msimbazi pia!

  11. Popobawa mzee wa majungu Anasema:

    hahahah wazee wa fitinaaa! tumeumia! dah ila hapo tukipekuana vizuri hapo wengine lazima wae na mijibastola viunoni!

  12. Anonymous Anasema:

    bwebwe kibao kumbe sio Tv kamili.
    Nivyema ikaitwa Simba Tv show in clouds

  13. Anonymous Anasema:

    Mbwembwe kibao kumbe mchezo ndani ya runinga ya clouds... well try.

    Nivyema ikaitwa Simba Tv Show in Clouds

  14. Anonymous Anasema:

    Mwanaume kumlisha keki mwanaume mwenzako kwa kweli haipendezi.

  15. Anonymous Anasema:

    hivyo simba hamna wanachama na viongozi wanawake wako wapi jamani ......

  16. Anonymous Anasema:

    haya sasa na nyinyi yanga funguweni tv yenu,sisi simba tumeanza na nyinyi mtafatia.Michuzi piga kampeni najua wewe ni yanga damu.

  17. Anonymous Anasema:

    kulishana keki usharobaro!

  18. Anonymous Anasema:

    cha kushangaza, vijana ambao wanatarajiwa kuwa wanajua maana ya siku hizi kulishana keki kwa wanaume wamekalia macho wanaangalia tu. Jamani tuelimishana.

    keki ndio kuleni lakini mshilishane!

    Wenu

    mr Inanitiar Kichefuchefu 2

  19. Anonymous Anasema:

    du mambo ya kulishana keki wanaume wazima mmeyatoa wapi labda mje marekani muungane na wenzunu walikubalika ili muendeleze hiyo tabia chafu mmeshindwa kutafuta mwanachama mama awalishe keki au mgawane kiume kila mtu akate kipande chake

  20. Anonymous Anasema:

    Kulishana Keki Michosho!

    Yaani hata kama akitafutwa Mwanamama Shabiki bado pana swali ataulizwa Mlishaji na Mlishwaji nyumbani kuwa inakuwaje,,,Umlishe yule Keki,,,inakuwaje,,,Akulishe Keki?

  21. Anonymous Anasema:

    Keki Mwanaume kwa Mwanaume ni dalili za Ndoa ya Jinsia moja,,,KWISHA KAZI!

  22. Anonymous Anasema:

    Kulishana KEKI:

    Hapo ni

    NANI DUME na NANI JIKE?

  23. Anonymous Anasema:

    Hii kulishana Keki Mwanaume kwa mwanaume ni mipango kutokea Somalia nini?

    Maana kwa Matajiri wetu hawa wa mawazo kwa njia ya Hisia za Mirungi kila viatu vya Mikanda Sandals inaonekana kwao ni Makubazi ya Muungwana hata kama ni vya KIKE!

  24. Anonymous Anasema:

    Kula, kula, kula unenepe weye!

    Ukitaka tende chukuwa ,Ukitaka Haluwa chukua ,Ukitaka keki tafuna, Lakini.....Mk...du panua!

    Hapo anayelishwa keki ndio Jike!

  25. Anonymous Anasema:

    Baada ya Kulishwa Keki inabidi uilipie!

    Ndio yaleyale ya Zanzibar na Mombasa unaingia Hotelini unaagiza chakula unamaliza unataka kulipa unaambiwa Masha hofu umeshalipiwa na yuleeee mwenye kofia ya kibandiko pembeni kwenye meza ya kona,,,!

    Loh ukimtazama Kofia ya Kibaragashia aliyoivaa ameichongoa Kijunju kwa juu utosini na ameisogeza amefunika paji la uso hadi kwenye kope za macho na ndevu zake za Mzuzu kama Beberu dume la mbuzi zimetiwa hina!,,,Lahaula lakwaaata!

    Bure ghali!

  26. Anonymous Anasema:

    Yanga S.C tutafungwa na Zamalek ya Misri lakini ninyi gongo wazi Simba S.C tutawafunga na mabao tutalipia yatundikwe live kwenye TV yenu wenyewe!

  27. Anonymous Anasema:

    Mbao yote Yanga tuliyowahi kuwafunga Simba tutayalipia mwezi mzima yarushwe kwa kurudiwa ktk Luninga yenu!

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker