Mchezaji Freeman Nesta wa Kagera Sugar, akiuondoa mpira miguuni mwa Emmanuel Okwi wa Simba, wakati timu hizo zilipopambana katika Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. 
Simba ilishinda kwa bao 2-1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. We vipi? Kagera walipigwa 3 - 1. Waliponzwa na kucheza rafu nyingi na kupoteza muda wakitegemea sare, tunaambiwa waliahidiwa fedha kama angalau wakitoa sare. Walioahidi "hawafahamiki"

    ReplyDelete
  2. Mnyama jana alitafuna na kuramba sukari..yeboyebo wanaumiaaa..! wamekutana na zamalek mbovu wamechemsha..!mnyama anasonga!! anaekuja anachukuwa 4 oklok in de morning..!

    ReplyDelete
  3. Upotoshaji! usahihi ni kuwa SIMBA 3 -1 KAGERA SUGAR

    ReplyDelete
  4. Upotoshaji! usahihi ni kuwa SIMBA 3 -1 KAGERA SUGAR

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...