Mmoja wa Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) akishusha Baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi wakati wanafunzi wa UDOM walipowasili Shule ya Sekondari ya Viwandani iliyopo Manispaa ya Dodoma Mjini mchana wa leo.
Wanafunzi wa Klabu ya Mazingira ya Shule ya Sekondari ya Viwandani iliyopo kwenye manispaa ya Dodoma wakiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) waliotembelea Shule hiyo Mchana wa leo.
Kwa habari na picha zaidi tembelea libeneke la Josephat Lukaza
SAFI SANA NA NAWAPONGEZA KWA HILO WANAFUNZI KWA KUONYESHA KUWAKUMBUKA WANAFUNZI WA SEKONDARI NA KUWASAIDIA NA KUONYESHA MOYO WA KUWASAIDIA BIG UP SANA
ReplyDeletesafi sana wadogo zangu, mkiweza muwapitie kabla ya mitihani muwasaidie kupigapiga brush masomoni.
ReplyDeleteChe
Huu ndo ukubwa kwani mkubwa huonyesha mfano mzuri
ReplyDelete