Mdau wa Globu ya Jamii ametuletea  Taswira hii ya Mshikaki ulionona aliounasa jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. polisi wametumia akili yule asiye na helmet amekaa katikati ili wamkinge incase ikitokea ajali....hahahahaha wana usalama hao wanaosimamia sheria.

    ReplyDelete
  2. POLISI RUKSA KUJITUNGA KATIKA MTU WA MSHIKAKI!!!

    ONGERA ZENU MAPOLISI WA KIBONGO!!!

    AHLAM,,,LONDON

    ReplyDelete
  3. Du! hawa si ndio Tigo wanao kamata waliobebwa kimishkaki style? Kweli mtunga sheria ndio Mvunja sheria

    ReplyDelete
  4. Koplo mzima hana helmet!!

    ReplyDelete
  5. Mshikaki ndiyo nini?? Mbona kiswahili kigumu? Maana hapa naona pikipiki, na watu watatu, dereva pamoja na askari wawili. Je, askari ndo mshikaki? Na kama ni hivyo, mbona mnawadhalilisha?

    Na Mdau-Sweden

    ReplyDelete
  6. Mdau - sweden hayo maneno ya nyumbani baba...hujafika muda mrefu huwezi yajua.mshikaki ni hiyo staili ya kupakizana kuanzia watu watatu kuendelea kwenye pikipiki.muwe mnarudi jamani likizo MTACHEKWAAAA

    ReplyDelete
  7. MDAU WA - SWEDEN MSHIKAKI NI STALI YA KUPAKIA WATU ZAIDI YA WAWILI KWENYE PIKIPIKI.DUH KAKA ULIONDOKA LINI BONGO?TANGU ENZI ZA KISHITOBE, GANGWE NK NINI?.... MRUDI LIKIZO JAMANI TUWAPIGE MIZINGA BAR BASI KHAA

    ReplyDelete
  8. Hii picha na i print natembea nayo. Polisi akinisimamisha na kunikamata, namuonyesha..

    ReplyDelete
  9. hahaahahahaah wacha nicheke tu jamani tanzania raha sana ...

    ReplyDelete
  10. Wallah umenona haswa, natamani dereva angekuwa polisi trafiki!

    ReplyDelete
  11. Kamanda Mpinga tunaomba muongozo......hivi hao jamaa walikuwa wanaenda wapi??? au walikuwa doria....labda na huyo dereva ni askari kanzu...teh teh teh...au wamemkamata so wanamtight asiskimbia...ha ha ha

    ReplyDelete
  12. Hata mimi mdau naiprint nitembee nayo kabisaa,tena naifanyia Lamination ili ikae mda mrefu.
    Duh this is Bongo bana.
    Ahhahahaha.

    ReplyDelete
  13. dah hyo kali ya mwezi wa 4. bongo noma

    ReplyDelete
  14. Derava wa Bodaboda umepewa hela yako na abiria hao Wana wa Ras Makunjas?

    Au ndio imekula kwako kwa bei ya badala ya kukamatwa?

    ReplyDelete
  15. Polisi hawaruhusiwi kupigwa picha wakiwa kwenye sare zao..!

    David V

    ReplyDelete
  16. Sasa hivi huyu koplo mzima anazidiwa akili au ndio kapendelewa hapo hahahahaha kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  17. Hii ni "patrol" katika kuhakikisha "usalama wa raia" na mali zao unaimarishwa.

    ReplyDelete
  18. mnapiga kelele juu ya mskikai? mmheshindwa kuona mkono wa sajenti ulipo!!!!!

    ReplyDelete
  19. Uwiiiiiiiiii!jamani nimecheka miye hizo comment mpaka mbavu zaumu duh! Mpinga upo hapo!

    ReplyDelete
  20. Enyi wana wa Ras Makunjas, Polisi nauli ya Boda boda mmelipa au ndio mnatumia uzito wa kofia zenu?

    Rikireta ubishi tuna mwambia Koplo Marwa Kituoni pale Sitaki Shari ariandikie statimenti, rivuriwe mukanda, viatu, rinyang'anywe ufunguo wa pikipiki na riwekwe sero !

    ReplyDelete
  21. Hiri ri dereva ra bodaboda ritatupeleka kokoote kuanzia kwenye 'vibanda' kwa makusanyo yetu ya mgawo wa reo, rikireta ubishi tuta riaresiti na kuriweka ndani!

    ReplyDelete
  22. Hapo nauli ya Polisi ni kukamatwa kwa Dereva wa Bodaboda !

    Walimsimamisha akakaguliwa leseni yake utata mtupu, breki na taa hazifanyikazi vizuri sasa analipia kwa kuwapeleka wanakotaka !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...