Ndugu wapendwa Wazalendo!
 Habari zenu nyote!
 Napenda kuwataarifu kuwa ninahusika na gazeti jipya liitwalo TABIBU:
  • frequency: mara mbili kwa wiki, Jumanne na Ijumaa lakini linauzwa wiki nzima kwani habari zetu hazichuji.
  • Lugha: Kiswahili
  • Maudhui: afya ya jamii hususani our local / traditional/ indigineous health solutions kutoka Tanzania, Afrika na kwingineko kama India, Americas, China, Afrika Kusini nk.
  • Walengwa: all households (kaya zote) kwani tunaamini changamoto za kiafya ni zetu sote bila ubaguzi wa namna yoyote ile. Madawa ya kisasa hayatutoshi na huduma za kisasa haziko kila mahali nchini, dawa hizo na vipimo ni aghali sana, madawa hayatufikii kwa wakati, mengine yana severe side effects, mengine ni feki... so let us consider going back to the basics, to mother nature.
  • Lengo: kuondoa unyanyapaa (stigma) kwa watumiaji wa dawa asilia, kutambua mchango muhimu wa tiba asilia na tiba mbadala, kujenga ari ya sisi sote kujua walau dawa asili kumi kwa kila makabila yetu na matumizi yake sahihi, nk
  • Usambazaji: Nchi nzima kwa sasa.
  • Mengineyo: tunatoa kurasa za mashairi, burudani na michezo. Pia tuna riwaya (hadithi), mikasa, vibonzo na makala za kuvutia!
  • tovuti www.bmpublishers.co.tz (inaendelea kuboreshwa)
  • barua pepe: mhariri@bmpublishers.co.tz
Rai yetu: tunaomba maoni yenu namna ya kuboresha gazeti letu hili la TABIBU.
Pia tunakaribisha matangazo mbalimbali.
 
Get your copy today!
 --
Kind regards,
 Benson Mahenya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...