NMB inaendelea kupanua mtandao wake wa matawi na kusogeza huduma zake karibu na wateja wake. Sasa NMB ipo katika eneo la Tegeta katika jengo la Kibo Commercial Complex, Tegeta Kibaoni.

 NMB ndiyo benki ya kwanza yenyematawi mengi na ATM nyingi zaidi nchini, imekuwa kinara katika ubunifu Tanzania kwa kuanzisha akaunti mpya nyingi na ndiyo benki ya kipekee iliyopo takribani kwa asilimia 95 ya wilaya zote nchini.




 Wateja wote wanakaribishwa kupata huduma katika tawi jipya la NMB Tegeta.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2012

    Jengo zuri sana hilo, nimeliona kwa nje sijui ndani nako ni kuzuri??? moja ya majengo ya kisasa hapa Dar...Ni matumaini yangu ni moja ya kazi ya Wasanifu majengo na wahandisi wa kitanzania!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2012

    Sawa wanatanua Bati mie siwapi SIFA....Wakenya watanua all over East Africa wana matawi ya Bank zao nchi zote za EAst Africa.BAnk za TAnzania zinaogopa na hizo system zao za kibenki za Wizi mtupu tunaogopa(Makato Kibao)....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...