Mwenyekiti wa Ukusanyaji maoni ya Katiba Mpya Mohd Yussuf Mshamba akifahamisha namna ya utoaji wa maoni unavyotakiwa huko katika kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Wajumbe wa kukusanya maoni ya Katiba mpya wakiandika maoni ya wananchi huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwananchi wa Muyuni Mwanahija Rajab akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwananchi wa Kijiji cha Muyuni Shukuru Ramadhani akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika utoaji wa Maoni huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika utoaji wa Maoni huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwananchi wa Kijiji cha Muyuni Mwanapili Haji Mussa akipeleka maoni yake kwa njia ya Barua yanayohusu uundwaji wa katiba Mpya kwa wajumbe wa Ukusanyaji maoni hayo huko Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Kutafuta maoni toka kwa wananchi is just a wastage of money and time, hawa wanasiasa wataibadili katiba kama watakavyo.
ReplyDeleteMalahe mwautaka hamuutaki? Javino sasa Nahodha kataukosa uraisi wa Tanzania!!
ReplyDelete