Soko kuu la nguo na vitu vya utamaduni vya nchi ya Ghana ambapo wajasiriamali wadogowadogo hukusanyika na kufanya biashara kwa wageni na wenyeji.
 Machinga akiuza urembo wa Ghana
 Kibanda cha nguo za kila aina za Kente
 Kila mtindo upo
Ankal akitembelea sokoni hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wajanja tumieni anuani hii hapo dukani kutafuta washirika wa kibiashara na sio kushangaa shangaa tu.

    ReplyDelete
  2. Ankal nadhani hii ni Osu Oxford street, usiache kupita duka moja la Woodin. Ndipo nafanya shopping ya Bi mkubwa nikiwa narudi nyumbani Dar, alafu lunch usogee karibu na hapo KFC

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...