I am selling my car Mercedes Benz s320L Limousine Auto 2002, Metallic Dark Blue with Power Windows, Power Seats, Power Mirror, Auto Seat Warming, Built in Alarm System, Power strling, Cruise Control, Arms rest, Cup holders, Auto Wipers, Remote Central locking, Electric Sun Roof,  Sports Tyres (r19, Low Profile), Imported 2012 Jan from UK.

Asking price is  40 Million.

For viewing and further details please contact  0713 942477

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. I told you and here I repeat, When Selling cars, Don't forget to mention how long has your car travelled, I mean millage covered, but you guys, you just rush to mentioning of ask prices, which is not bad but it takes me and number of buyers away from interest, got that?.

    ReplyDelete
  2. mhh mil. 40 si bora nichukue mpya?

    ReplyDelete
  3. Haya haya ??? wabeba mabox wa UK simnasema huko mnalipwa POUND !! mdudu huyo hapo tuone kama mtakohoa !! mmm !! kodi ya pango yenyewe jasho degedege. huyo mdudu,mpe siku mbili tu Vijana wa TRA wapo chonjo kumchukua, na huenda kazi yenyewe hapo TRA ana miaka miwili tu. wewe una miaka 10 UK ndiyo kwanza unaka renault ka pound 1000 na ukitaka kukaleta bongo !! utakumbana na mbwa mwitu wa TRA utachekea chooni. Zebedayo msema kweli.

    ReplyDelete
  4. NO AIR CONDITION???? DAR TOO HOT

    ReplyDelete
  5. Mkuu, naona bei umeweka juu sana. gari kama hiyo UK, inakuwa kwenye pound 5k au chini kama miles ni over 100K. Niliona majuzi kwa 4495 ya 2001 na miles 87k. kwa mil 40 ni sawa na pound 16k nadhani ushuru unaweza kuwa umelipa 12k. naksharui upunguze bei kwani kwa bei hii mtu anaweza kuagiza mweneywe UK na akaitoa na kusave sio chini 6 -8K, ni usharui tu. na akiagiza Japan( different quality thoug, lakini wabongo hawajali kwani ni matanuzi zaidi, kuna jamaa alisema yeye hajali hata kama miles ni 200k ali mradi wakati anaendesha mtu haangali hicho! ndio wabongo Zebedayo) kana kwamba yeye haoni hizo km/miles na kuwa gari inakuwa ajuza

    ReplyDelete
  6. Mdau wa juu, gari ya UK kama ni £5000 basi ongeza na recovery £200, ongeza na storage £500, ongeza na transport £800, ushuru na bandari na namba Tsh 15M, ni sawa na Tsh31.9M bila ya faida. Sasa wewe unataka biashara ya 30M mtu apate faida ya ngapi? Ndio maana mimi sifanyi tena biashara ya gari!!

    ReplyDelete
  7. Michuzi hebu tufanye breakdown kidogo. Hiyo bei ni sawa na pounds 16,000. Kwa gari hiyo hiyo iliyotembea miles 140,000 siyo zaidi ya pounds 5,000. Cheki hii hapa inauzwa: http://www.pistonheads.com/sales/3825015.htm. Tena wanasema it has been used for diplomatic work and benefited from a host of rich owners where no expense has been spared in its upkeep.

    Ukiweka na gharama zote za kuileta Tanzania na mazagazaga mengine inawezafikia jumla ya pounds 12,000. Kwa hiyo, hapo utakuwa ume-save pounds 4,000 (karibu sh milioni 10) ambazo unaweza kuingiza gari nyingine nzuri tuu na kuiuza hata kwa sh. Milioni 15 hadi 20.

    Hapa Bongo watu wana pesa zao walizozipata kihalali au kifisadi kwa hiyo anaweza kuuza hiyo gari hata kwa million 60. Si unajua Wabongo tulivyo?

    Nakubaliana na mdau wa kwanza tufikie mahali Watanzania tununue magari kulingana na miles ambazo gari imetembea. Hii itasaidia kuondoa magari mabovu barabarani. Tusinunue gari tuu kwa sababu inaonekana nzuri kwa nje au ni model fulani.

    Ile boti ya Skagit na pacha wake zipoletwa Tanzania zilipigwa msasa mpaka zikaonekana kama brand new vile. Lakini ukweli zilikuwa zimeshapigwa stop Marekani kwa uchakavu na mwisho wao wa kutumika kihalali ni mwaka huu. Kwa hiyo ilivyobinuka baharini juzi ni sawa kabisa kwa sababu huu ulikuwa mwaka wake wa mwisho.

    Na kwenye magari ni hivyo hivyo. Tusidhani kuwa magari yanatengenezwa kutumika forever. Pamoja na maintenance itafikia mahali gari pamoja na kupigwa msasa itachoka tuu na kuweka maisha yako na watumiaji wengine wa barabara hatarini.

    ReplyDelete
  8. Unafikiri bongo hatujui autotrader.co.uk?? halafu gari before 2006 kimeo baada ya budget.

    ReplyDelete
  9. milioni 40 tu wadau sio nyingi sana jamaa anataka hela ya ftari tu.

    ReplyDelete
  10. bei hiyo sio mbaya kwa mafisadi kama kina ankali michuzi lakini watanzania halisi kama sisi tunaolipwa mshahara wa laki 1 kwa mwezi tutaviona tu kwa kina ankali na spika wa bunge.

    ReplyDelete
  11. Zebedayo Saidi mbeba box nambari wanii kanyimwa shift leoooo....hahahahahahah utakoma kuringa mwaka huu...


    nimimi tu

    ReplyDelete
  12. a 2002 model for 40 million? gimme a break!

    nimenunua yangu ya mwaka 2009 na ina mileage 25,000 (40,000 km) na nimelipa million 38 hiyo ni pamoja na ushuru nk

    hivi tanzania hakuna regulations za bei za magari na nyumba?

    ReplyDelete
  13. Mdau aliyetoa makadirio ya gharma nzima kuja karibu 30M nakukubalia, kwani yaelekea wewe biashara hii umeshafanya..na mimi ni mnunuzi tu..kwa hiyo yawezekana jamaa kaanzia hapo na 36 anaweza kuuza. ila watu wengine wametaja suala la msingi kuhusu maana ya uchakavu kwa macho ya TRA na Zebedayo..mwaka sio uchakavu, mileage(umabli) ndio uhckakavu, kwani hapa UK gari ya mika miwili na imetemebea zaidi la miles laki itauza bei sawa na gari ya miaka 7 iliyotemeba miles elf 30. kwa Bongo wanaangalia mwaka.ushamba au ulimbukeni?

    ReplyDelete
  14. @ Thu Aug 02, 11:08:00 AM 2012 Na bado matumizi mengine umeacha kuna viza £300, hotel dar £100, usafiri kuchukua viza Dar £50, usafiri UK £500, hotel UK £1000, usafiri na simu kufuatilia tangazo la gari £50. Utaongeza £2000. Jumla mpaka gari imefika Bongo ni £8500 sawa na Tsh 22M. Ongeza ushuru na namba na bandari Tsh 37M.

    ReplyDelete
  15. Hapa Miunda
    Hiyo bei kali,ila sio sana nice car kwa experiace yangu,maongezi tu ,mi nauza gari landcruzer amazon milioni 47 la uhakika, halafu acheni kuuwa eti wapiga box wanamiliki gari ya 1000pounds ,sawa lakini mukubali tuna mijengo mikocheni na tunguu zanzibar ya milioni 200,tuko juani huku tz ndio kivuli chetu.

    ReplyDelete
  16. Mi napita tu...ils yte keshasema mdau hapo juu

    ReplyDelete
  17. Peleka Mwanza, watakupatia Milioni 60 badala ya hizo 40 unazotaka! Chezea Mapanki wewe?

    ReplyDelete
  18. Hizo milioni 40 ni us dolars ama za madafu? Kama ni us dolar basi bongo kumeharibika. Hivi nyie wabongo mishahara mnayopewa inaweza kuafford vitu vya bei mbaya namna hii? amakweli bongo ni ya mafisadi.

    ReplyDelete
  19. Mdau wa August 02,05:45 PM 2012, hoteli UK kwa £1,000? Kwani alishukia Churchill Hotel? Halafu kama ni mfanya biashara kweli unaenda UK kununua gari moja tuu? Kama ni hivyo basi ukiweka na usafiri wa kwenda UK na kurudu kununua gari moja tuu utapata faida gani kwa kuuza hiyo gari kwa sh 40m?

    Whatever the case, sh. 40m bado ni ya juu sana kwa gari ya mwaka 2002. Lakini tumeashambiwa Wabong huwa hatuangalii umri wa gari au maili ilizotombea. Kwa hiyo bei bado atauza tuu.

    ReplyDelete
  20. Muuzie zebe!!! Ahhh sorry I mean zebedayo anaefanya kazi c.c.m ( chukua.chako.mapema)

    ReplyDelete
  21. Wewe Bongo hakuna cha mishahara ni UFISADI tu. mishahara yao inajulika haizidi TSH milioni 2. ndio mtu analipwa vizuri kweli kweli.

    ReplyDelete
  22. Kama mtu ana shida ya gari na anamiliki zaidi ya 40m atasubiri tangazo la hapa? Huyu kataka watu waoshe vinywa, anyway labda wengine hawajui kuagiza gari nje bila middle man, Gari ya 2002!!!!!!, na pamoja na maneno yote haya hasemi imefikia km ngapi?mhh nimefunga nisimharibie ndugu yangu biashara lakini kukaa kimya sio vizuri pia.Michuzi usiweke matangazo ambayo hajakamilika inasumbua.

    ReplyDelete
  23. I admit, I have not been on this web page in a long time... however it was another joy to see It is such an important topic and ignored by so many, even professionals. professionals. I thank you to help making people more aware of possible issues. Hamilton Wedding Limo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...