Rais mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akihojiwa na Afisa wa Sensa ya Watu na Makazi, Bwana Ptolemy Canute Matafu aliefika Nyumbani kwake Upanga Sea view,Dar Es Salaam, leo hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Pongezi Rais Mkapa kutumia Wakati wako kupromote sensa na kuonesha muhumu watu kushirikiana na Afisa wa Sensa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...