Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete  akikabidhiwa  anuani ya makazi ya Ikulu  na Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka wakati uzinduzi wa mfumo wa anuani Mpya za Makazi na nembo ya Simbo (Post code) uliofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwa muda mrefu nilikuwa nasubiri mpango huu wa mitaa na postikodi..ukiangalia viwanja vingi vimepimwa na mitaa ipo ila usimamizi wa ujenzi wa makazi sio mzuri na hivyo kufanya nyumba nyingi zimejengwa kiholela na mitaa kupotea.

    ReplyDelete
  2. Mwana habari hapo kidogo umechemsha ni postcode sio kama unavyo ripoti na kusema postcard..!!

    ReplyDelete
  3. Postcodes za Tanzania mzima zimechaishwa na TCRA kwenye Government Gazette No 220 la 22 June 2012. Vilevile unaweza kuzipata kwenye tovuti ya TCRA www.tcra.go.tz nenda Publications/Postcode list

    ReplyDelete
  4. Post Card!!! LOL..jamani ni post code au zip codes kule Marekani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...