Hivi ni Baadhi ya Vikwangua anga vinavyoupendezesha mji wa Kigali nchini Rwanda kama vilivyonaswa na Mdau wa Globu ya Jamii aliopo nchini humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Naaam mji umepangwa hata kama siyo sehemu ya vikwangua anga umepangika.

    Miji kama hii ukiwa unatua unajivunia kuwa mwananchi, sisi inabidi useme siyo mwananchi. KISA walimu wa chuo cha ardhi wanajifanya kufanya masterplan wakitumia mbinu ambazo hazipo katika kamusi ya kisasa ya masterplan. Academics ni academics, waachieni Consultants mmeshaharibu nchi nzima, kama hakuna consultants wa master plan waletwe kutoka nje kama walivyofanya rwanda halafu wao wajifunze tena jinsi ya kufundisha tu, local consultant wajifunze namna ya ku master plan. Tumechoka na uharibifu wa master plan nchi nzima kwani zina mgusa kila mwanachi - maji, barabara, maji taka, flyover hamna traffic jams, ajali za open drainage cum sewers..etc the list is so long!

    ReplyDelete


  2. hahaha mdau wa kwanza hapo juu umenifurahisha sana kumbe unajua elimu bongo ni zeroo alafu nyie ndo mnasema ooh wanaosoma nje woote wako vyuo vya mfukoni,

    mara mnasema Tanzania education is the best duniani!! pumbafu kabisaa nani kasema hayo wewe umeona wapi mtu mzima anachaguliwa chuo na kozi ya kusoma kama darasa la 7

    huo si ndo muozo wa elimu ya bongo

    ReplyDelete
  3. Bongo engineers sucks!

    ReplyDelete
  4. ningeendekeza urasimu wa hapa mpaka leo hii ningekua mbumbumbu kabisa
    \nikajisomea zangu nje na hata kama hapa haitambuliwi lakini nje inatambuliwa na mashirika makubwa yanaitambua elimu yangu na hayo ndo yanayolipa vizuri kuliko haya ya hapa,,, unajua ukiwa hukijui chuo hiyo hain maana kwamba hakipo ila wewe ndo hukijui wengine wanakijua

    ReplyDelete
  5. USAFI WA KIGALI NDIO UNANIMALIZA MWENZENU. NI KUSAFI, MITAA UTAFIKIRI WANAPIGA DEKI? HIVI JAMANI USAFI UNAUZWA BEI GANI? I AM HAPPY TO INVEST IN USAFI ANY TIME ANYWHERE IN TZ

    ReplyDelete
  6. Very Organized and clean! TZ can learn a lesson or two.

    ReplyDelete
  7. Tatizo wengi wenu mnaojiita wasomi kutoka nje hatuoni mnachofanya zaidi ya kubeba mizigo na kuuza magazeti!!faida yenu kwa nchi haionekani mnaishia kusema tu.tuacheni na nchi yetu hata kama ni mbaya!!Home sweet home!!

    ReplyDelete
  8. Ndio maana wale madiwani wa Moshi (wengi wao chadema) walitaka kufuja mihela yote ile kwenda ziarani Kigali kujifunza jinsi ya kuufanyia usafi mji?

    ReplyDelete
  9. Ni vizuri kujifunza na kujuwa kama umeshindwa, asiyekubali kushindwa si mshindani.
    Kwa kuangalia haraka hizo picha za Kigali mjini hata asiyejuwa master plan za miji atajuwa Kigali inaonekana ipo kwenye mpango mzuri wa mji.Mpango mzuri wa mji lazma upunguze stress si kujenga tu majengo makubwa na kuwa na magari mengi.
    Kuna Vikwangua anga vya Dar vipo kwenye eneo la upanuzi barabara na njia za maji safi na machafu.Kwa master plan nzuri inabidi kuvunja tena vikwangua anga kwa siku za mbeleni na hasara kubwa itatokea kwa wale wanaojenga ule mrundikano pale mjini.

    ReplyDelete
  10. Ndugu zangu mliopo nje ya nchi kwani huko nje mnafurahia matunda ya nani?maana nadhani mlifika huko na mkakuta kila kitu kimeshafanywa tayari na nyie kwa uvivu wenu mnatumia tu.kwa hiyo subirini na sisi tunawajengea nchi na mkirudi mtaikuta safi.tumechoka na kukosoa kwenu,badala ya kushauri mnaishia kuponda.Hata Mkapa alishawasihi mrudi nyumbani na kujenga nchi yetu lakini mmeng'ang'ana na nchi za watu.Subirini miaka kadhaa ijayo mtaikuta nchi tumewajengea ili mje mle raha.Mtanzania Mzalendo

    ReplyDelete
  11. Kitu nachopendea RWANDA sio usafi tu bali kuna USALAMA 24 hrs 7 days a week!!! Unaweza kutembea hata saa nane za usiku na usiwe na wasi wasi wa vibaka wala nini. Mji mzima unalindwa na WANAJESHI ambao hawachukui rushwa wala nini!

    ReplyDelete
  12. Tatizo bongo kila mtu anawaza bongoflava (usanii) na siyo maendeleo ya nchi.

    ReplyDelete
  13. Nina kubaliana na maoni kwamba watu wegeneo wako nje wana changamoto ya uzalendo.

    ReplyDelete
  14. Kitu wa tz mnatakiwa kuwanacho ni kupenda nchi yenu. Muache u selfish ndipo mtakapo weza kuendeleza nchi yenu la sivyo mnatwanga maji kwenye kinu tu.

    ReplyDelete

  15. Hata waenda kwa miguu wa kutafuta!

    ReplyDelete
  16. Republic of Rwanda:

    Hawa ndugu zetu wamepiga hatua kwa kweli.

    Zaidi ya uchafuzi wa taka taka hawa wanakaribia kutoa adhabu hata kwa atakayethubutu kutoa upepo (KUJAM..3A)na kuchafua hewa au mazingira ingawa inakuwa si uchafuzi wa kudumu ni uchafuzi wa muda mfupi hewani!

    ReplyDelete
  17. Kwa Mr.Paul mchezo?

    Full usafiiii...!!!

    Hapo achalia kutupa taka pekee, jamba uone cha mtemakuni, Askari wa Manispaa Kigali hao ndani ya dakika 1 !

    Kama nyuki waliojeruhiwa!

    ReplyDelete
  18. tz mtaishia hivyo hivyo na ujenzi holela mji haujapangika kabisa kazi yenu nyie pesa za miradi kutia mifukoni kubwia minyama na mibia. tazameni sasa mnapitwa na nchi ndogo tu ambayo ilivurugwa na vita lakini wkajikosoa FASTA sasa wanafanya kweli nchini kwao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...