Birgedia Jenerali Mstaafu Haruni Rashid Othmani (61), mkazi wa Maweni Mjimwema, Wilaya ya Temeke Mkoani wa Dar es Salaam akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya hivi karibuni.
Bi. Penda Nyanga (28), mkazi wa Kata ya Kigamboni Wilaya ya Temeke Mkoani wa Dar es Salaam akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika katika kata hiyo.
Bw. Mujuni Sylivery maarufu kwa jina kisanii kama ‘Mpoki’ (30), mkazi wa Kata ya Kibada, Wilaya ya Temeke Mkoani wa Dar es Salaam akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...