Kamera ya Globu ya Jamii ililinasa tukio hili la Kumeremeta kwa wakazi wa Kijiji cha Muhoro Mkoani Lindi,huku wakitumia Usafiri maarufu wa Bodaboda.Walio kwenye Bodaboda ya nyuma ndio maharusi wenyewe wakati wakielekea mnusoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ni Muhoro na sio kama ulivyoandika!

    ReplyDelete
  2. Asante mdau umenikumbusha mbali,nilipita barabara hiyo mwaka 2009.Bahadhi ya vijiji ninavyovikumbukuka majina hivi hapa;Mavuji,Sinza,Kiranjeranje bila kusahau samaki wa kukaanga pale Nangurukulu.Nitarudi tena nikipata nafasi.

    David V

    ReplyDelete
  3. Soo humble yet much blessings; hakuna budget ya milioni 50 hapo.

    ReplyDelete
  4. uvunjaji wa sheria wazi wazi, hata maharusi mshikaki?

    ReplyDelete
  5. Hawa Mademu Mamodo na Mamiss wa Kimjini mjini humpandishi Boda boda kwenye Harusi!

    ReplyDelete
  6. Ahhh maisha tunatoka mbali!

    Hapo baadae bibe anaanza kuleta mapozi wakati akijua siku ya harusi alipandishwa boda boda lakini leo anadai maisha ya juu.

    ReplyDelete
  7. Kijini dispilini!

    Hapo kwa Kijijini Bodaboda ni kama Range Rover Vogue V-8, au Mercedes Benz SE500!

    Demu anakubali mwenyewe kukwea Boda boda kwenye Harusi?

    ReplyDelete
  8. So funny in deed!

    ReplyDelete
  9. yaani hao hapo kwa village ni matawi ya juu. kina wengine ni baiskeli au kwa mguu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...