Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katikati akichangia katika harambee ya kikundi cha Habari Group ambao ni waandishi wa Habari waliojikusanya kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na pia kuhudumia jamii isiyojiweza.kikundi hicho kinaendeshwa chini  ya jumuiya ya kukuza uchumi Ilala 'Jukuila' kikundi hicho kimezinduliwa March 8 na Mlezi wake ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Angella (katikati).Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Mfuko wa Pesheni wa PPF pamoja na Hotel ya Lamada.kushoto ni mratibu wa hafla hiyo Bi, Rabia Bakari.
Mratibu wa Kikundi ya HABARI Group Bi.Rabia Bakari akikabidhi risara ya kikundi hicho kwa Mgeni Rasmi,Mh. Balosi Khamis Kagashekiwakati wa uzinduzi.
Wana kikundi cha Habari Goup wakijitambulisha mbele ya mgeni rasmi. 

WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI AMBAO NI WANACHAMA WA HABARI Group
WANACHAMA WA HABARI Group WAKICHEZA KWA SHANGWE
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki kushoto akiangalia baadhi ya dokomenti picha na Burudan Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongereni sana, sasa priority itakua ni nyinyi kujikwamua kimaisha au kusaidia jamii isiyojiweza. Am just curious wapendwa msikasirike.
    Maana mnaonekana wote mna njaa na mnazitolea macho hizo hela.
    Otherwise all the best,hiyo group idumu asije mmoja akawazidi wengine akili, ikawa harambee ya kwanza na ya mwisho.Maana tunawajua hiyo jinsia hamkaagi chungu kimoja.

    ReplyDelete
  2. Mratibu umependeza kweli, Mheshimiwa Zitto kachangia kiasi gani safari hii. Au hii haimuhusu, Kwikwikwi.......teh teh teh.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...