Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Salma Kikwete (katikati) akisalimina na Mkurugenzi wa ITV, Joyce Mhavile na kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Limited, Teddy Mapunda.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Salma Kikwete (kulia) akizungumza na Uongozi wa Montage pamoja na wadhamini wa Harambee iliyoongozwa na Kampuni ya Montage kwaajili ya kuchangisha fedha kwaajili ya kusaidia matibabu ya Mama na Mtoto nchini Tanzania.

Mkurugenzi wa ITV, Joyce Mhavile (kushoto)akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Limited, Teddy Mapunda kabla ya kukabidhi hundi kwa Uongozi wa WAMA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...