Tegemea kupata makala hii kila saa mbili asubuhi kila siku..
Home
Unlabelled
safu mpya ya globu ya jamii: Miondoko ya kumeremeta kwenye mnuso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana na bivi harusi wamedata, awesome.
ReplyDeleteAnkal nimekukubali kwa ubunifu!
ReplyDeleteWakati mabloag wengine wakisaka umbea wa siasa na upuuzi mwingine, wewe umejikita katika facts na humour! Hongera sana. Nimesoma mahali leo bloga anayetafuta umaarufu kwa nguvu zake zote (tena anajiita mtoto wa kigogo)kuwa Mzee Kingunge kafa (sio kweli, Mzee anadunda kama kawa), wewe unatupa raha za kijamii kama hizi. Ankal Mola akupe maisha marefu tuzidi kufaudu
Hii Harusi ilikuwa Dallas, Texas. Tulienjoy sana tuliobahatika kuiona live. Ilikuwa safi sana
ReplyDeleteIla huyo bibi harusi ni kifaa cha uhakika kweli, siyo wale ambao huwa naona wamejaza matumbo.
ReplyDeletehii harusi ya wapi?!!!!!
ReplyDeletenchi gani hii?!
I LOVE THEM! THEY ARE HAPPY AND ENJOYING THEMSELVES! I NORMALLY HATE LONG BORING WEDDING CEREMONIES BUT THIS ONE KIBOKO BWANA WE ACHA WEE
ReplyDeleteILIKUWA SIKU YAO YA FURAHA
ReplyDeleteWAACHENI WASELEBUKE
SELEBUKENI
Huyo alosema siasa ni upuuzi mpuuzi yeye kwanza Pili Bangi na Pombe matokeo yake ni haya
ReplyDeleteHizi harusi siku hizi watu wote wamedata ukienda kwenye YOUTUBE haina haja kumsubiri Michuzi kukupa burudani kama ulivosema mdau wa pili ,burudani popote tunachotegemea hapa ni habari za nyumbani ambazo ni nadra kkuppata
Bibi harusi mcharuko kinoma!
ReplyDeletehao ni west africa ,kama sikosei Ivory coast.
ReplyDeleteNice wedding